Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026...
Jina: Awezi Emedi Swalehe
Umri: Miaka 23
Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam
Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam
Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata...
1. Wamezama wengi ndani ya Mto
2. Wameumwa na Nyoka hatari
3. Wengi wameliwa na Simba
Na Wataalam wa Ujenzi wa Mabwawa makubwa kama haya wanasema haya Mambo matatu niliyoyataja huwa hayaepukikina...
Kataa ndoa njooni msome kisa hiki.
Naona mnaendelea kuvuna points
================
Mwanamke mmoja aliyedhaniwa amefariki na kuzikwa tangu Agosti 2014 huko Bihar, India, amepatikana akiwa mzima...
Kuna siku niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu sana ana wivu. Kila nilipomshirikisha mafanikio yangu, badala ya kufurahi pamoja nami, alikuwa akitafuta namna ya kujilinganisha na mimi...
Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi...
Kumeibuka mjadala wenye utata mitandaoni kuhusu suala la posho kwa madaktari, ambapo wananchi pamoja na watumishi wa kada mbalimbali ndani ya sekta ya afya wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu...
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97.
Mama Fatma Karume alikuwa...
1. Mto wa Mbu, hili eneo ni hatari na nusu, na kama kwenye mvua hizi zitakuwa sawa au zaidi ya zile za 1997 basi tujiandae na maafa.
Ziwa Manyara limejaa tope na sehemu pekee ya kumwaga maji...
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi...
Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je...
Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi mara baada ya kupatiwa mafunzo ya matumizi ya mfumo huo. Katika siku mbili za matumizi ya...
Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo.
Mafunzo...
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.
Hivi hizo...
"Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..."
"Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki...
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea...
Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.