Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027
Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na...
SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI
Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke.
Itafika hatua ambapo unakuwa...
Kiukweli hii nchi yetu ukiondoa hizi barabara kuu ni shida tupu hasa hiki kipindi cha mvua!
Kwa upande wangu gari zote nilizowahi kumiliki ni gari za chini, ila tu niseme ukweli kipindi chote...
Baada ya mkataba wa ajira kwisha nataka kudeal na photo.. Nimeona nianze na Epson,, kamera ninayo,, lakini pia naomba kujua app nzuri ya kudeal na photo editing, asante,,
Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu..
Hazina quality ya aina yoyote.
Imenifikirisha sana...
Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Jiji la Arusha umefikia asilimia 71.91 ya utekelezaji. Mradi huo unalenga kuboresha huduma za usafiri, kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na kuongeza...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam...
Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira ya kuwawezesha Watanzania, hususan vijana, kunufaika zaidi na fursa za kiuchumi. Baada ya msukumo katika sekta ya...
Kuna siku niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu sana ana wivu. Kila nilipomshirikisha mafanikio yangu, badala ya kufurahi pamoja nami, alikuwa akitafuta namna ya kujilinganisha na mimi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa kwake na jezi mpya zinazosambaa zikidaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
Waziri Makonda...
Mawakili wanaomwakilisha msanii na mfanyabiashara mashuhuri wa nchini Marekani, Sean "Diddy" Combs, wamewasilisha ombi rasmi mahakamani la kujiondoa katika kumwakilisha kwenye kesi yake ya madai...
Eneo linauzwa morogoro -mvomero lipo kalibu na hospital ya mvomero,barabara ya mvomero na ni km10 tu toka dodoma road ndani ya eneo kulikua na uwekezaji wa madarasa mawili,minazi na mabwawa ya...
Members.
KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu.
Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.