Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa...
1 Reactions
14 Replies
881 Views
“Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.” (Mathayo 28:19) Lakini tunajua kuwa Mathayo naye alitungia hii “Amri Kuu...
6 Reactions
124 Replies
4K Views
Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu. Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri...
3 Reactions
9 Replies
499 Views
Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Anonymous
Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo...
3 Reactions
9 Replies
708 Views
Anonymous
Wasimamizi wa mzani wa Wenda upande wa kurudi Dar wanachezea mzani gari inazidi na ukienda mzani wa mikumi, mikese na vigwaza unakuta gari zipo sawa kabisa. Tunaomba mamlaka zitusaidie kero hii.
1 Reactions
8 Replies
444 Views
Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Anonymous
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa...
2 Reactions
5 Replies
454 Views
Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment. Sasa baada ya kuokota...
4 Reactions
12 Replies
687 Views
Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
1 Reactions
4 Replies
530 Views
Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika: 1...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa. Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority...
4 Reactions
16 Replies
778 Views
Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari) Karibu sana ndugu yangu Mtanzania! Kama tour guide mwenye miaka mingi ya uzoefu, napenda nikushirikishe itinerary ya...
5 Reactions
13 Replies
736 Views
Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda... Kama unajipenda anza zoezi la kuacha.. SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA 1. Shambulio la moyo 2 uraibu...
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo Wa Mungu YOHANA 1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo...
5 Reactions
120 Replies
4K Views
karibuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza waumini...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Anonymous
Naandika kwa masikitiko makubwa juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ndogo za kutoa huduma ya Uhasibu kwa Umma hususani kwa watoa huduma wadogo (Small firms). Pamoja na viambatisho vingi...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno...
20 Reactions
117 Replies
20K Views
Back
Top Bottom