Watu wanaleta corruption. Watu wengine hata hawajui kwamba kuna Uchaguzi.
Wanataka wafanye mambo yao ya kijinga.
Mimi siyo mtabiri. Lakini nafikiria watu wanapaswa kujihadhari.
Sitaki kuwa...
Kwa fikra yakinifu,
Sioni umuhimu kwa watu wengi kufahamu kuwa umeoa au kuolewa.
Watu wanaopaswa kulijua hili ni wewe muoaji/muolewaji pamoja na wazazi wenu wanne pekee.
Ngoja nikuelewesha...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayolenga kusababisha kufungiwa makanisa na viongozi wa Kikristo kupigwa kama yule Askofu aliyepigwa na wasiojulikana (Kwa sababu hawakutambulika), vile kina...
Day 1: Departure from Arusha (au karibu), kufika Serengeti kwa mchana, safari ya mchana (game drive), kulala campsite Serengeti.
Day 2: Siku nzima ya game drives ndani ya Serengeti—uwezekano wa...
Serikali lazima ijue raia tunapambana kujikwamua kimaisha na unakuta mtu ameacha kazi taasisi binafsi na anahitaji mslai yake lakini NSSF wanasema mpaka ufikie umri wa kustaafu. Nauliza pesa za...
Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance...
Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje?
Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii maarufu kwenda kwa watanzania wanaoshabikia upinzani na kudanganywa na maneno hewa ya wasaka tonge na wachumia tumbo wa upinzani au...
Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika...
Hebu tuweke mezani pointi kuu kwa nini miji ya ukanda wa pwani ya Tanzania (kama Tanga, Lindi, Mtwara, Kilwa, Bagamoyo, Pangani, Mafia n.k.) ukitoa Dar es Salaam, imekwama kimaendeleo na mzunguko...
Naam jumatano tayari tuko nayo kama tulivyoahidiwa umbea saa tatu usiku na Polepole.
Jinsi tupendavyo Umbea hiyo saa 3 tunaiona mbali.
Sasa hivi ni vitu vya kuzingatia saa 3 ifike haraka.
Take...
Huu utaratibu wakukusanya hela ya takataka naona haupo sawa kwa kiasi kikubwa kama nyumba ni moja halafu hela ya takataka inakusanywa kila chumba si sawa na kama haya ni malipo ya Serikali na ni...
Ujenzi wa njia ya Mwendokasi Mbagala ulitajwa kuwa ungekamilika zaidi ya miaka miwili iliyopita, lakini mara kwa mara Wananchi wamekuwa wakipewa ahadi za kuanza kwa huduma. Inashangaza kuwa baada...
Zanzibar yajiunga na Nchi zingine 6 za Afrika ambazo zilisainiana mikataba yenye thamani ya Shilingi Trilioni 255 ($102B) huku yenyewe ikitarajia kuguna uwekezaji wa Trilioni 25 kutoka Qatar...
Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia.
Ni ndefu sanaa we somaa.!
Japo siwezi kuyaandika...
Kutokana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa ajira na mitaji ya kujiajiri hapa nchini, ninaomba Serikali iangalie upya sera ya mafao ya NSSF na kurejesha rasmi Fao la Kujitoa kwa Wafanyakazi...
Wakuu
Hata kama niwewe ukisikia Mwanafamilia mwenzenu aliuawa na Familia fulani lazima Kwa namna moja hautakuwa na mtazamo positive Kwa hiyo Familia hata kama yanayosemwa ni uongo.
Hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.