Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za asubuhi Kuna ndoto nimeota zimenitisha sana naombeni msaada wenu kwa atakaezielewa. Ndoto ya kwanza; nimeota nina chuma mfano wa bolt nakichezea mdomoni ghafla kwa bahati mbaya...
3 Reactions
11 Replies
674 Views
Hakuna mtanzania anaetaka serikali imlishe milo mitatu au impe hela bure, Hakuna. Tunachosema ni kua TANZANIA ina rasilimali za kutosha kuleta ahueni kwenye maisha ya watu. Wanachofanya...
5 Reactions
13 Replies
474 Views
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium. Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Katika nchi ya Japan wamefanikiwa kuleta uvumbuzi wa kipekee baada ya kubadili kinyesi cha Tembo kuwa karatasi. Mchakato huo umehusisha kukusanya vinyesi vya tembo, ambavyo vina nyuzinyuzi nyingi...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu...
0 Reactions
35 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na...
13 Reactions
61 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10. Kazi...
30 Reactions
75 Replies
11K Views
Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
2 Reactions
4 Replies
886 Views
Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wetu, mapato ya serikali yameongezeka kwa kiasi kikubwa! Kati ya Agosti 2020 na Machi 2021, tulikusanya shilingi trilioni 11.2, lakini katika kipindi kama hicho...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Wamekata matangazo ghafla. Nilikuwa nasikiliza kupitia RFA. . Ni baada ya mtangazaji kudondoa taarifa za utekaji nchini Tanzania. "Walinipiga risasi na kunitelekeza wakidhani nimekufa' – mmoja wa...
19 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya Kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military". Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Hakika Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja toka YouTube aliweza kununua gari la buggati kwa Dola zaidi milioni $5,000,000 na kuletewa gari likiwa tupu bila Engine. Anaitwa Virginia ni...
3 Reactions
10 Replies
723 Views
Hawa watoto wanashangaza Sana yaani ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu? Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
salam salam, Ni wazi hali ni ngumu halafu kila siku bei za vifurushi zimekuwa zinapanda bei mfano, Halotel kwangu mimi ndiyo nikiwa naona ni mtandao wenye gharama nafuu. Kwa miezi fulani hapo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Niko chini ya miguu ya atakeyenisaidia hicho kitabu tajwa hapo juu🙏. Cc Mshana Jr
1 Reactions
4 Replies
304 Views
Anonymous
Kumekuwa na suala la baadhi ya watu ambao wanajiita ni kampuni za upimaji ardhi wamekuwa wakiwarubuni Wananchi haki zao katika suala la ardhi. Wao na Viongozi wa Vijiji wamekuwa kero na...
1 Reactions
1 Replies
312 Views
Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda. Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja...
-1 Reactions
9 Replies
704 Views
Back
Top Bottom