Diego Santana
Senior Member
- May 10, 2025
- 147
- 214
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa.
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority complex inakusumbua kwa kuwa wao matajiri na wewe ni masiki hivyo unawaonea wivu.
Yaani ni changamoto sana hawa binadamu wenzetu. Yaaani ni ndugu lawama. Rafiki unaweza ukavunja urafiki, ndugu Je kama hawa??