Hello JF Members,
Ujumbe wangu upo ndani ya hii story fupi.
Kulikuwa na mama mjane, maskini sana, aliyeishi na watoto wawili wadogo kijijini. Mama huyo alikuwa mchuuzi wa mbogamboga. Kila siku...
Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja...
Magari 150 yana maderva 320 maana bus moja watu wanaingia kwa shift ukichanganya na ajira nyingine za wahasibu,masuperbisor, wasimamzi wa vituo mafundi mradi tu huu aliopewa bwana mofet unaweza...
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye utawala bora barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI).
Taifa hili limeorodheshwa nafasi ya 6...
😈🧸 THE DEMON BEHIND THE SMILE: PAZUZU VS LABUBU
Katika historia ya kale, watu wengi waliabudu miungu ya uongo kama Ashera, Bali, Zeus, Dagon, Hubal na mingineyo. Leo hii, roho zilezile zimerudi...
listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle...
Kasumulu – Mbeya
Kituo cha Pamoja cha Forodha kilichojengwa katika mpaka wa Tanzania na Malawi ni matunda ya utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi.
Mradi huu umelenga kuimarisha...
Habari Madam President, sisi ni Wakazi wa Tanga Mjini, Barabara ya 05 Ngamiani, Mtaa wa Makoko tatizo letu kubwa ni hiyo Majestic Bar ilikuwa ni mali ya CCM lakini imekodishwa na Joseph...
Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku uingizaji wa bidhaa za virutubisho vyenye mchanganyiko wa dawa za hospitali, kutokana na madhara ya kiafya yanayotokana na matumizi...
Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa...
kuna manufaa yoyote unapata...
Tunaomba kujua kwani Tanroads siku hizi wameacha kumaintain barabara ama ni taasisi nyingine ndio inafanya hiyo kazi?
Ukipita barabara ya Skanska kwenda IPTL njia nzima imejaa mchanga, yaani...
Binafsi nashangaa Sana kuona lundo la wanawake likikimbilia dojo kujifunza ngumi sijui no for self defense au vp naona wale tuliokuwa tunawaita Maua sasa wanaanza kuwa magugu.
Kuna sister mmoja...
Bar ya Mashati iliyopo mbweni imekuwa ni kinara wa makelele kwa sisi majirani. Kinachoshangaza hii bar/liquor store imeibukaje katikati ya makazi ya watu? Yaani imezungukwa na nyumba. Kwani hawa...
Ni kawaida kukuta mtu anatembeza vinywaji mtaani na ata stendi au
Mwingine anauza vinywaji kama soda na Energy zikiwa zimerundikwa nje tena juani
Lakini ukisoma maelekezo kwenye zile bidhaa...
Habari wadau wa Jamiiforums,
Dunia ya Fedha Imebadilika, Lakini Wewe Umebaki Pale Pale?
Miaka mingi watu walidhani pesa ni noti na sarafu. Lakini walioshika kalamu ya dunia walibadilisha mchezo...
Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao.
Moja...
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content...
KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani...
Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema
Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.