Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo.
Na kushangaza compaore huyo...
Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)...
"Hakika, chini ya sheria karibu kila kitu kinatakaswa kwa damu, na pasipo kumwagika kwa damu hapana ondoleo la dhambi." Waebrania 9:22
Lakini Paulo alipata wapi wazo hili?
Fundisho la Upatanisho...
Wakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini?
Hata mkituambia ni wingi wa...
Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC
Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo...
Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni.
Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao...
Habari zenu Wana jamvi. Moja Kwa moja niende kwenye mada husika...Ukisoma biblia kuna muda yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanamwita nani, kuna walio mjibu kuwa watu wanasema wewe ni...
MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA
📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma
📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi
📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404
📍...
Nichukue nafasi kupongeza utendaji kazi wa Wahudumu waliopo Hospitali ya Mkoa Songwe iliyopo nje kidogo ya Mji wa Vwawa Mbozi kwa utoaji wa huduma.
Changamoto iliyopo hapa ni ujenzi unaenda kwa...
Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa...
Katika hali inayokera na kufedhehesha ni tabia ya mtu kujiona amefanikiwa kwa sababu anafanya kazi kuliko wengine wote, au wengine hawafanyi kazi kuliko yeye. Kufanikiwa hakupo hivyo hata kidogo...
Nguvu za miujiza ni uwezo wa kipekee wa kiroho, wa asili au wa kimungu unaozidi sheria za kawaida za maumbile na akili ya kibinadamu. Nguvu hizi huaminika kuja moja kwa moja kutoka kwa Mungu, roho...
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa...
Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi
1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa...
Je, kweli kuna mepepo, maruani na majini, au yote haya ni hadithi za imani na tamaduni? Katika baadhi ya madhehebu ya Kikristo ya charismatic kama Walokole, watu huamini kwa nguvu kwamba roho au...
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute...
Mwaka 2011 historia ya Tanzania iliandika ukurasa wa kipekee uliojaa matumaini, mijadala na sintofahamu kubwa. Katika kipindi hicho jina la Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile, maarufu kama...
Good evening members.
Mimi niliwahi kusaidiwa na mtu niliyekuwa simjui au mtu baki mwaka 2003.
Huyu dada alikuwa ni askari police. Hata mimi nilishangaa sana kusaidiwa na police.
Nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.