Mchemsho wa kwanza wa Zuma......hatujifunzi Waafrika ?
Statement by President Jacob Zuma on the appointment of the new Cabinet
This is Zuma's statement on the formation of his new cab...
How to be a Tanzanian is one of the more enduring challenges of our
lives. The phrase raises questions about identity and national
culture; it is about the interconnection between state and...
Ndugu watanzania nafikiri kuna baadhi tu wanaoona hii starehe ya riitta paulsen ya bongo search kupiitia itv.tulijua wao ndio watakuwa wa kwanza kuelimisha jamii lakini inasikitisha sana kuona...
Hapa kwetu tungekuwa na waandishi wa kuchokonoa tungepata habari nzuri zaidi kujua jinsi mawaziri na wabunge wanatumiaje kodi yetu Mh. Slaa alisema mshahara yao ni mikubwa lakini hakuja na...
Polisi wamweka rumande mtoto babake ajitokeze Sunday, 10 May 2009 09:58 Na Glory Mhiliwa, Arusha
JESHI la polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtoto wa miaka tisa aitwaye Richard Grayson mkazi...
It has been stated that it is easy to get into Mombasa but difficult to get out on account of the allure of life there. But *Nick, an NGO worker recently returned from Dar es Salaam, thinks this...
Nimeona hii habari kuwa mlima Kilimanyaro unategemewa kuripuka katika mwezi wa November mwaka huu.
What Mt. Kilimanjaro may look like
during its volcanic explosion
with the Moshi town below...
Jana katibu Mwenezi wa CCM ambaye pia ni waziri wa Habari na utamaduni George Mkuchika alitoa malalamiko yake juu ya "upotoshaji" habari ulionesha kwamba viongozi waandamizi wa CCM walizomewa...
2009-05-10 20:44:00
Makamba says booing won't stop CCM win
By Samuel Kamndaya
THE CITIZEN
Chama Cha Mapinduzi secretary general Yusuph Makamba, has said booing of its leaders will not...
2009-05-11 07:54:00
Cautious support for poll plan by Church
THE CITIZEN
Some political analysts have cautiously welcomed the move by the Catholic Church to conduct extensive civic...
Baada ya kuona hatutaki mambo ya kuwapa right ya kuwa na ardhi Tanzania sasa hawa wakenya washajipanga kuchukua kilomita za mraba 103,000 za bahari ya hindi au kwa kiingereza ni 150 nautical...
Jesus too was crucified for telling the truth - Dr Slaa
By Rodgers Luhwago
10th May 2009
Karatu legislator Dr Willibrod SlaaKaratu legislator Dr Willibrod Slaa has scoffed at being booed by...
Ole wao mabilionea wa Kikwete
Ansbert Ngurumo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
NAKUMBUKA kauli moja ya Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani. Alisema kwamba katika kipindi cha utawala...
Kwamba MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA ndio chanzo cha matukio makubwa ya UJAMBAZI ulioanza tena kwa kasi ya ajabu.
Hali hii inasababishwa na wakuu wa MAGEREZA KUACHIA WAFUNGWA AMBAO HAWASTAHILI...
Napenda kujua ni kwa nini mtu akiwa chotara (zaidi wa kizungu na kibantu) huwa anaitwa black hata kama anaukaribia uzungu? Nimekuwa nikijiambia wakati mwingine kuwa hiyo ni heshima kwa mwafrika...
Kijana mmoja ambaye hakuweza kutambulika jina lake mwenye umri kati ya miaka 20 jana amepata kipigo kikali kutoka kwa Wananchi wenye hasira kutokana na kosa la kukwapua na kutaka kubaka.
Tukio...
From: "Data Section" <yhupgrade.inc@live.com>
Dear User,
We are sorry to inform you that we care currently working on securing ourserver. During this process, an account that is not manually...
HABARI TOKA MTAA WA MSIMBAZI JIJINI DAR SASA HIVI ZINASEMA KUNA MAPAMBANO MAKALI KATI YA POLISI NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI.
wadau mliopo karibu na maeneo hayo tunaomba ripoti.
Kuna habari kwamba yule CEO jeuri sana wa Dawasco (Alex Kaaya) ameng'olewa na kupewa barua ya kuripoti haraka sana katika Mamlaka ya maji Musoma. Hata hivyo kwa mujibu wa tetesi hizo, ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.