Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,876
- 2,739
Napenda kujua ni kwa nini mtu akiwa chotara (zaidi wa kizungu na kibantu) huwa anaitwa black hata kama anaukaribia uzungu? Nimekuwa nikijiambia wakati mwingine kuwa hiyo ni heshima kwa mwafrika (kuwa uwepo wake unatambulika) lakini naona kama wakati mwingine ni ubaguzi wa wazi. mzungu na mwafrika wamezaa mtoto, then mtoto analazimishiwa asili ya kibantu. Hamwoni kama hii ni sawa na kumkataa mtoto uliyemzaa mwenyewe? si dhambi? nasi waafrika tumelichukua hilo kama lilivyo na kulikubali. mbona kwa wahindi na waarabu inakuwa tofauti?
Last edited: