Tetesi, CEO DAWASCO ANG'OLEWA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi, CEO DAWASCO ANG'OLEWA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kashaija, May 8, 2009.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna habari kwamba yule CEO jeuri sana wa Dawasco (Alex Kaaya) ameng'olewa na kupewa barua ya kuripoti haraka sana katika Mamlaka ya maji Musoma. Hata hivyo kwa mujibu wa tetesi hizo, ni kwamba kutokana na jeuri ya pesa nyingi alizochuma ndani ya Dawasco kwa kipindi kifupi amekataa kwenda Musoma na hivyo ameandika barua ya kujiuzuru kazi.

  Mwenye taarifa kamili amwage hapa.
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,099
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimeulizia dawasco hq hamna taarifa hiyoooo
   
 3. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,099
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimeulizia dawasco hq hamna taarifa hiyoooo
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  tetesi za leo kali
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,685
  Likes Received: 3,563
  Trophy Points: 280
  Ukweli utajulikana soon...
   
 6. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  By the way huyo jamaa is a very good performer and has a good stand. Sijawahi kusikia kashfa zake hata kidogo. anyways leta issue.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,856
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wanaweza kumwondoa kwani aliwashikia bango wakubwa walipe bill za maji!
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hilo ndo tatizo la kwetu bongo.....yaani mtu anayefanya kazi vizuri...ndo anawekewa zengwe!......anyway.....Miafrika ndo tulivyo (NN)!
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,870
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  He was agood Lowassa stooge, remember mikwara ya bill ya Mwakyembe (Mb) baada ya kutumwa na Lowassa kuhit back?
   
 10. a

  adobe JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,528
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yote hiyo ndo mbinu za mafisadi.Usidhani kaondolewa hivihivi,Mafisadi na hasa mawaziri ndo wanaokwamisha maendeleo ya nchi.hawapendi kuona mtu anapiga kazi vizuri.Wote wenye madeni Dawaso wako masaki,mikocheni, oYsterbay Mbezi beach Na upanga. Hawapendi kulipa bili za maji hawa.Wote hawa mawaziri na mafisadi walaaniwe kwa nguvu zote
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni mchapa kazi namkubali sana nenda Dawasco uone mabadliko bili siyo za kubuni tena na kama una matatizo unaskilizwa mara moja,vishoka vya kuunganishia watu maji bila mmpango hamna,tatizo letu wetu tunachanganya siasa na kazi!
   
 12. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Lole, well sina habari na hiyo hoja yako. Lakini this Guy kama ulishawahi kusikiliza strategies zake na jinsi alivyobadilisha hiyo kampuni, utatamani umweke kwenye sector nyingi ambazo zimekuwa na uzembe mkubwa. Kinachonifurahisha sana ni misimamo yake ambayo haifungani na mtu yeyote. Utaweza kulidhihirisha hili kutokana na kero za maji kupungua kwa asilimia kubwa sana jijini dar ukilinganisha na wakati kabla anachukua office. Najua bado kuna mapungufu mengi but the guys is a GOOD PERFORMER. I think with this i stand to support him sana. Nimekuwa nikifuatilia sana mambo this guy can be the more or less as MAGUFULI. Where they first study situatuion, give out appropriate stategies and execute those strategies without fear. Ni wachache wa namna hii katika nchi yetu.
   
 13. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Kazi nzuri ipi! Sijapata maji ya bomba kwangu huu mwaka wa pili lakini bili kila mwezi naletewa! hadi sasa nadaiwa eti Laki sita na ushee hivi!! Huu ni wizi mtupu!!!
   
 14. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,823
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sasa naamini kweli baadhi yetu watanzania ni warahisi sana kusahau. Sikatai mapungufu kama unayoyataja, lakini situation ya maji ilikuwa mbaya sana kabla ya uongozi wa huyu jamaa. Ndugu yangu KYAKYA just rudi kidogo kabla huyu jamaa hajaingia ofisini assess ile situation then ulinganisha na sasa. Utakubaliana nasi kwamba jamaa ni mchapa kazi.
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Mafisadi hawalipi bili za maji ; Sophia Simba alikamatwa kajiunganishia maji kiwiziwizi[waziri wa utawala bora!!}; Subash Patel jizi juzi kakamatwa anaiba maji kwenye hoteli zake whitesands!! .Sasa hawa ndio hawampendi Kaaya!!
   
 16. M

  Manundu Member

  #16
  May 9, 2009
  Joined: Apr 7, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  So wanampa fundisho sio?
   
 17. F

  FisadiNyangumi Member

  #17
  May 9, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yote hiyo ndo mbinu za mafisadi.Usidhani kaondolewa hivihivi,Mafisadi na hasa mawaziri ndo wanaokwamisha maendeleo ya nchi.hawapendi kuona mtu anapiga kazi vizuri

  JAMANI SIO WOTE MAFISADI WENGINE NI VIJIFISADI....MBONA HATA NUSU YA RICHKIKWETE AJAFIKISHA...ANGEKUWA ACTIVE KILA SEHEMU ....MMMH SIJUI
   
 18. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Manundu!

  Ningefurahi kama wangemtoa kwanza huyo Waziri wa Maji taka and then aondolewe huyo aliyemweka Waziri!

  Kupata maji we need to change the Serikali ya CCM that means remove Kikwete!

  Huyo Kaaya aliwekwa na Mmeru mwenzake Teddy Lowasa!! You ask Lowasa Mkapa, Malecela na yule Nassoro wa Super Doll ( Anaendesha Mtibwa kwa niaba ya Mkapa na Kagera Sugar inayomilikiwa na fAMILIA YA MAREHEMU DR. OMAR ALI JUMA) Zile USD 150million mkopo wa WB za kufufua City water ziko wapi?

  Can Jakaya Mrisho Kikwete come in the open and make a statement on this!!!

  Ufisadi wa CCM is historical. You can't go ahead bila kutizama nyuma if you want to be safe!

  Kwa sisi tuliokulia kijijini that is the rule of the thumb you have to look back after every corner!!

  Wanajamii mpo common wake up!
   
 19. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shapu,
  Kama hujasikia kashifa za Kaaya, basi soma porojo za Lowassa hapo juu ili uone Kaaya na ndugu yake Lowassa walivyotafuna pesa yetu tuliyokopa World Bank, TShs. 164/= Bilioni, kwa ajili ya uboreshaji maji Dar lakini hadi leo bomba zetu bado kavu na hao Wameru mpaka leo hawajatuambia jinsi walivyozitumia.
   
 20. MwanaHaki

  MwanaHaki JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,348
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue aliambiwa Weka Sahihi Yako Hapa ili Tule Bwana Mdogo, yeye akasema NO, SITAKULA RUSHWA!

  Wakamwambia, Unajifanya mjanja, eee? Basi subiri!

  Kapewa KONG'OLI!

  Ufisadiiiii!
   
Loading...