Baada kuona hatutaki EAC Kenya waanza kuvamia mipaka ya Bahari ya Hindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada kuona hatutaki EAC Kenya waanza kuvamia mipaka ya Bahari ya Hindi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, May 10, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuona hatutaki mambo ya kuwapa right ya kuwa na ardhi Tanzania sasa hawa wakenya washajipanga kuchukua kilomita za mraba 103,000 za bahari ya hindi au kwa kiingereza ni 150 nautical miles

  BERNARD MEMBE na vile vizee vilivyojazana pale Foreign sijui wana fanya nini...Kule ofisi ya MAKAMO WA RAIS (Mazingira) wana mhusika anaitwa Esther Makwaia anadai kuwa ohhh bado tunafanya process...ili kumeet the deadline...kisa hawana pesa..sioni sababu wakenya washindwe hapo walipo kwani wamelipa dola milioni 10 kwa ajili ya hili zoezi na Serikali ya Norway ilituahidi dola milioni 5 sasa sijui kama tutameet hiyo deadline lakini habari ndio hiyo

  http://www.un.org/Depts/los/clcs_new/submissions_files/submission_ken_35_2009.htm
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nimetembelea hiyo link na nimepitia ramani zinazohusu hayo maombi ya Kenya. Binafsi sioni tatizo, ni haki yao na hilo eneo haliingii upande wa Tanzania. Endapo nasi tunahitaji kupanua mipaka kwenye deep sea tunatakiwa kufanya procedure hizo hizo. Wala tusitate tension ktk hili.

  Nimeambatanisha ramani husika, you cann see yourself.
   

  Attached Files:

 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sir, you have killed it .
   
Loading...