I mean, let's be serious here. What is wrong with us?
Is it a chronic foolishness syndrome or what?
The fact that Tanzania has been governed by the same immoral, greedy, ignorant, and...
Kikwete, Membe na hipokrisis!
Lula wa Ndali-Mwananzela Julai 9, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
KUNA watu wanafiki na wapo waigizaji. Kuna mambo ya kinafiki na mambo ya kizugaji...
Raia Mwema: Julai 9, 2008
Wachoshwa na chama kulinda mafisadi
Wasisitiza kungoka kwa Makamba
BAADHI ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) sasa wanaelezwa kuanza kukichoka chama...
Log(1/2) > Log(1/4)
Log(1/2) > Log(1/2)2
Log(1/2) > 2Log(1/2) Divide by Log(1/2) each side
Then you get 1 > 2 (How can 1 be greater than 2?)
Kila siku siasa siasa, hebu changamsha bongo we...
zimenifikia taarifa za uhakika kuwa Zitto alizidiwa jana majira ya usiku na ilipofika saa 5 usiku, watu walio karibu walilazimika kumkimbiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili ambako amelazwa...
Kaa chonjo, kina Karl Peters wa zama hizi waja!
Johnson Mbwambo Julai 9, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WIKI iliyopita nilijadili kuhusu ahadi ya kutengeneza ajira mpya milioni...
Ni dakika kama 10 zilizopita maeneo ya Pugu Road eneo la Jeti kwenye kona.
Kuna gari ndogo saloon type nyeusi imevamiwa na majambazi mchana huu na kupasuliwa vibaya vioo vyote huku ndani...
Maoni: Watalamu washeria tusaidieni kama adhabu ni stahili kwa kukosa lililotendwa au ndio ya mnyonge na maskini?
MFUNGWA Yahaya Shariff aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa...
Kesi ya wizi wa mkufu na simu ya mkononi iliyokuwa ikimkabili mke wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Naziri Karamagi, Nadia imeyeyuka baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es...
Kama kawaida ya Botswana, hawakawii kujitenga na wengine. Sijui SADC italishughulikiaje hili la Mugabe ikiwa kila nchi itaanaangalia maslahi yake binafsi kwanza.
Botswana does not recognise...
Kwa wakazi wa Dar es Salaam na hususani wale wanaoitumia barabara ya Uhuru watakubaliana nami kuwa hiyo ni moja kati ya barabara mbaya sana Tanzania.Awali eneo lililokuwa baya lilikuwa kati ya...
Hatimaye Rais Mugabe naye anatumia sharti linalotumiwa na Karume kuwa hadi umtambue kama Rais ndiyo wataweza kukaa chini kuzungumza. Baada ya kuwasili kutoka Misri, Mugabe anasema yuko tayari...
No tax holidays, report says
KILASA MTAMBALIKE in Dodoma
Daily News; Wednesday,July 09, 2008 @20:10
THE Presidents Committee on the Mining Sector has advised the government to stop...
Mining sector is time bomb
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Wednesday,July 09, 2008 @20:03
THE Presidential Committee on Mining Review has warned of potential instability in the near future...
Embattled PCCB chief finally on his way out
By Bernard James
THW CITIZEN
The director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Mr Edward Hoseah, could finally...
janal nilikuwa naangalia Channel ten kipindi cha ' Je Tutafika' ambacho kinaendeshwa na Mzee Makwaiya wa kuhenga. alikuwa ameenda nchi ambayo inaitwa Sumaliland, yaani sijawahi hata siku moja...
Zitto Kabwe: Sinunuliki
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe amesema hanunuliki kwani hana bei, na...
"Ni fedheha kwa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kumruhusu mtu anayetuhumiwa kwa ufisadi kutumia miibara takatifu kujisafisha", hiyo ni kauli ya viongozi wa kanisa waliyoitoa jana katika...
Juzi katika Bunge la Kenya, wabunge waliamua kupitisha a vote of no confidence katika Waziri wa Fedha Bw Amos Kimunya kwa sababu ya ishu za ufisadi.What really captivated me lilikua lile swala la...