mpeni mkapa muda,nyinyi nyote mnajuwa nyerere alimpa mkapa maeneo kwa sababu alitaka achote mapesa kama zawadi yake ya kumuandika vizuri katika miaka ya sitini na sabini wakati munaemuita baba wa taifa alipokuwa anaitiya nchi kwenye shimo, nyerere kasomesha watoto wake marekani, watoto wa watu aliwapeleka urusi, waliporudi watoto wa marekani wakapewa vyeo wa urusi wakaonekana hawajui kitu, wakati baba enu mgomvi wake marekani ni beberu, na mrusi ni mjamaa, kwa hiyo tuache kupiga ngonjera tuendeleze mambo aliyofanya baba wa taifa kwa kutuwekea mr clean