Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,161
zimenifikia taarifa za uhakika kuwa Zitto alizidiwa jana majira ya usiku na ilipofika saa 5 usiku, watu walio karibu walilazimika kumkimbiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili ambako amelazwa hadi hivi sasa. Sijapata taarifa anasumbuliwa na nini hasa.
Natanguliza pole zangu kwake na kumuombea apone haraka na kurejea katika afya yake njema, bado taifa linamuhitaji.
Natanguliza pole zangu kwake na kumuombea apone haraka na kurejea katika afya yake njema, bado taifa linamuhitaji.