Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wana JF naomba kutoa hoja, tumezoea kuona companies nyingi kufanya promotions mabalimbali, lakini hili la kutoa 100M kwa mtu mmoja wakati una wateja Mil 5, sio busara. wapo wateja wengi ambao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu napenda kuelezea hisia zangu kwa hili tangazo la TAMWA, linalomuonyesha binti wa shule akipambana na vikwazo na majaribu mbalimbali nimelipenda sana. Siku zote nilikuwa nikifikiri njia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Mtanzania mwenye utu, pindi upatapo nafasi ya kumtia Banza machoni kwa kipindi hiki, yamkini utamlilia msanii huyo nembo ya muziki wa dansi ambaye anahitaji msaada wa hali na mali kuirejea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tangu sherehe za Nane Nane zimeanzishwa ni muda mrefu sana sasa.Nitakuwa mwongo nikisema nakumbuka mwaka zilipoanzishwa rasmi,kwa kweli sikumbuki.Wana JF nisaidieni.Lakini swali la msingi ni hili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa jeshi linatarajia kufanya mazoezi ya kivita mkoani pwani wiki ijayo, Pia inasemekana kuwa yatakuwa niya usiku na mchana, kwa wiki nzima, Pia wavuvi wametakiwa kutovua ktk siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Institute of Development Studies University of Dar es Salaam is organizing Prof. Haroub M. Othman Memorial Gathering Saturday 18th July 2009, UDSM Nkrumah Hall 10:00am- 13:00pm The Institute...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Once again, I am struck by the power of woman, and the miracle she carries within while giving birth. My dear cousin this week had a baby boy, and the enormity of it was really hard-hitting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda huu unafaa kuwajadili waheshimiwa hawa kuelekea 2010 muda muafaka kujua wanapanga move gani,wanaandaa mtandao mpya, wapya watakaowapandikiza majimbo watakayowania JE WAKO WAPII??? 1.R.A...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waheshimiwa wana wa nchi! moja ya taratibu zangu za kila siku ni kuingia JF asubuhi na jioni kila siku na kusoma magazeti ya Mwanahalisi, Raia mwema, Rai, Mtanzania, mwananchi kila toleo. toleo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwaka Kogwa Historical Background The Islands of Unguja and Pemba, known collectively as Zanzibar, have a wealth of tradition and culture. One of the oldest traditional festivals is the...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Traffic incident gives insight into Corruption and harassment in Tanzania. By: Dr. Mohammed. Last week I was driving through a small side street leading to Mafuta House in Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Man Charged $23 Quadrillion For Pack Of Cigs Man Charged $23 Quadrillion For Cigarettes Enlarge photo Josh Muszynski checked his account a few hours after making the purchase at a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kero na karaha za nyumba za kupanga zimejidhirisha huko maeneo ya Mikocheni B baada ya mama mwenye nyumba kuvitoa vitu vyote vya mpangaji wake ambaye alikuwa safarini na kisha kuigeuza nyumba...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Norway: tutahamisha na kupeleka wakimbizi wote Tanzania. Nembo ya Fremskrittspartiet (FrP) Chama cha wahafidhina wenye siasa kali nchini Norway, Fremskrittspartiet...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hebu nisaadieni kwa hichi kisa kilichompata rafiki yangu alipokwenda ubalozi wa marekani. Leo 15/07/09 kati ya saa 9:30AM-11AM asubuhi niliegesha gari langu nje ya ubalozi wa marekani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Jabir Idrissa WAZIRI Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, ametoa kali. Anasema haoni faida yoyote katika utaratibu wa maswali ya papo kwa papo ndani ya Baraza la Wawakilishi (BLW). Kama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hIVI KARIBUNI LIMEZUKA (kuanzishwa) GAZETI MOJA LIITWALO NIPE HABARI AMBALO LINATOAK DAR LAKN HABARI ZAKE NYINGI ZIMEELEMEA ZENJ. JEEE NDIO GAZETI LA KUELEKEA UCHAGUZI 2010 ZENJ?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, ametoa siri ya ujasiri alionao katika kukabiliana na vita dhidi ya ufisadi awapo kwenye kiti chake bungeni. Sitta, alitoa kauli hiyo hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
INASEMEKANA NCHI NYINGI ZILIONDELEA KAMA jAPAN, DENMARK SEREKELI NA RAIA HUTUMIA GARI ZA BEI YA CHINI TOFAUTI NA TZ UTAONA MASHINGI, BMW , LAND CRUSER. KWNINI
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamepinga kauli ya Waziri wa Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa, kwamba kampuni hiyo inaendesha shughuli zake vizuri. Wamesema kauli hiyo ya Dk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom