Toleo la mwanahalisi wiki hii lanunuliwa kwa mpigo tabora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toleo la mwanahalisi wiki hii lanunuliwa kwa mpigo tabora!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-bongo, Jul 16, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa wana wa nchi! moja ya taratibu zangu za kila siku ni kuingia JF asubuhi na jioni kila siku na kusoma magazeti ya Mwanahalisi, Raia mwema, Rai, Mtanzania, mwananchi kila toleo.
  toleo la mwana halisi wiki hii halijafika Tabora nimeenda kulitafuta sehemu zote husika bila mafanikio hata kwa maa-agent wakuu ndipo mmoja wa vendors alipo ning'ata sikio kuwa chapisho lote kwa mkoa wa Tabora limenunuliwa na mtu mmoja ambaye hakutaka kunitajia. swali gazeti hili lilikuwa na kitu gani ambacho kimesababisha kununuliwa lote maana uzoefu wangu mdogo unaniaminisha kuwa gazeti likinunuliwa lote basi ujuwe kuna mtu ameguswa kwa namna moja au nyingine hivyo kwa kufanya hivyo ni kuficha kile kilichokusudiwa! nisaidieni mliopata bahati ya kuliona na kulisoma lilikuwa na kitu gani cha ajabu na je kwa kuficha magazeti yote hasa kwa mkoa wa Tabora kwa weza msaidia mfichaji kutekeleza matakwa yake?
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Jaribu kutembelea blog ya Bw. Mjengwa (mjengwa) ingawa hakuweka detail utaona ukurasa wa mbele.
   
 3. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  au ingia kweenye web ya Kicheko halafu chagua Mwanahalisi
   
 4. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kicheko.com, kuna magazeti at least ambayo yanaandika ukweli bila kuficha kitu
   
 5. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hakuna story yoyote yenye interest ya Tabora, labda makala ya Salva Rweyemamu wa Ikulu, inayomsema vibaya Profesa Lipumba wa CUF. Kama hivyo ndivyo, ndio tutathibitisha yale yanayosemwa kuhusu Lipumba na ubia wake na "watu wa Tabora."
   
 6. C

  Chuma JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  - How Huo "Ubia"?..

  -Tulisikia Salva kapelekwa Masomoni...ilikuwa kweli au....? au Anaandika akiwa Ughaibuni...?
   
Loading...