Akina dada wanaondoka na glass Bar

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana mara ya kwanza nilijua pengine kaja nazo baada ya kuondoka nikauliza kwa muhudumu nikaambiwa tumesha lizwa.
Sasa dada Bia/wine umenunuliwa unaiba glass ya nini jamani mbona mnatutia aibu wengine mpaka chupa za bia wanabeba.
Wakuu Masanilo,Chrispin aangalieni vijiweni mnakotembelea ukiona sister duuu kaja na mkoba mkubwa mtilie shaka.
 
duuuuh, ebanaeee, mi nlikua sijui ati kumbe ndo siri ya yale mamikoba makuubwa ya kina dada?, asee mkuu habari hii ndo naipata kwako.
 
hahaha.... huyo inaelekea wauswazi siunajua tena uswazi glass za bati na plastic ukiwa na ya "kioo" unaonekana ww mata ya juu
 
Wakuu haya mambo yapo watu tunashuhudia kwenye Bar glass zinapungua kila mara mzigo mpya unaletwa wadada wanapiga deal kwenye mikoba yao.
 
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?
 
Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana mara ya kwanza nilijua pengine kaja nazo baada ya kuondoka nikauliza kwa muhudumu nikaambiwa tumesha lizwa.
Sasa dada Bia/wine umenunuliwa unaiba glass ya nini jamani mbona mnatutia aibu wengine mpaka chupa za bia wanabeba.
Wakuu Masanilo,Chrispin aangalieni vijiweni mnakotembelea ukiona sister duuu kaja na mkoba mkubwa mtilie shaka.

Me bado sijabahatika kuwatia machoni live..... ngoja nianze kauchunguzi cha chinichini... tatizo nao huenda wanafanya kazi hiyo watu wakishakuwa talalila.....
 
duuuuh, ebanaeee, mi nlikua sijui ati kumbe ndo siri ya yale mamikoba makuubwa ya kina dada?, asee mkuu habari hii ndo naipata kwako.

Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
 
Mh! Mkuu hii kali umenifungua macho! ina maana dada/mama zetu siku hizi ni noma kihivyo inabidi kuchunguza ikiwezekana na picha tupige tuweke hapa.
 
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?

Jamani sasa hapo too-much hadi vijiti vya meno... mbona matuzalilisha sie kina dada jamani
 
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini

Ahsante sana Born Town. Leo ndio nimejua wewe ni She. Mpwa Endelea kuporomosha thread za kugundua jinsia. Una kipaji mkuu.
 
Wakuu haya mambo yapo watu tunashuhudia kwenye Bar glass zinapungua kila mara mzigo mpya unaletwa wadada wanapiga deal kwenye mikoba yao.

Hebu Fidel tuambie hayo ulioyaona ulikuwa bar ipi au taja eneo ukute ulikuwa uswazi mazese kwa mfuga mbwa kule ukadhani na BP wanayafanya hayo hayo ama Rose garden
 
Usiniambie unakunywaga Rose Garden. Hiyo BP sijaikamata vema. Hebu nielekeza nikatabaruku.
 
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?

chrispin una uhakika na uyasemayo?nakata rufaa
 
Sasa naona kunaumuhimu wa kila bar maid kumsimamia mteja wake kama wafanyavyo wauza kahawa!!
 
hahahaahaha hii kali..... basi bar zitajaa wahudumu kuliko wateja halafu sijui hao wahudumu watalipwaje ikiwa idadi itazidi mara 2 ya wateja
 
Au kama kusimamiwa itakuwa kazi,basi wafanye taratibu kama za library,kila anayeingia na mkoba auache counter mpaka atapomaliza starehe zake!!
 
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?

Mmmh labda kabati la mashosti wako ndo lina glass tofauti tofauti,huu sasa ni uongo yaani mpaka toothpick,Chrispin tutake radhi kwa hili,Hili nalipinga kwa nguvu zote unataka kutwambia kuwa kila anaebeba pochi kubwa anaondoka na glass za bar?

Huyu nae alieanzisha hii thread nina wasi wasi nae inawezekana hao mashosti ambao yeye huwa anatoka nao ndo wanaofanya hiyo kazi maana amejuaje? Kuna wakaka hapa wamesema hawajawahi kuona ila wataanza kufanya uchunguzi,sasa wewe kaka Fidel80 wewe nina wasiwasi sana na hii thread uliyoileta, lengo lako ni nini? wakina dada tuonekane wezi au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom