Baruti za wahindi ni kero

JOHN KITABI

Member
Nov 10, 2007
26
3
Hellow great thinkers,
Juzi, na jana kumekuwa kukivurumishwa baruti na wahindi
kwa kiwango kisicho cha kawaida.
Enzi za Kamanda Tibaigana hawa jamaa walipewa saa moja tu kuvurumisha hayo mafataki yao. Cha ajabu mwaka huu sijui wamempa nini Kamanda Kova! Juzi kwa mfano walianza mida ya saa kumi hadi saa sita naenda kulala ilikuwa ni Bp kwa kwenda mbele. Jana walifanya mchezo kama huo pia.
Jamani Viongozi wetu hasa wa Usalama mko wapi?
Waungwana hivi tunaenda wapi kwa style hii?
 
Hii hela itawadrive wengi to the hell fire,mi nashangaa wahindi wakitaka nyumba za national housing wanapata bila vikwazo,kaombe wewe swahiba uone cha moto,wakiomba kuvurumisha mi baruti wanapiga mvururu,lakini akina cc kusherehekea mwaka mpya kwa tamaduni zetu za madebe tunaishia sero,Bora mtikila angeshika nchi tuu,aendeleze sera zake za gabachori!!
 
Back
Top Bottom