Je Mtz Unahitaji Visa Kwenda South Africa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mtz Unahitaji Visa Kwenda South Africa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mgoyangi, Sep 1, 2009.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna wakati kulikuwa na makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini kwamba Mtz akitaka kwenda South hatalazimika kulipia visa, na vivyo hivyo M- south nataka kujua huu mpango ulifikia kuwa kamili ama ulikuwa usanii.

  Je Mtz akitaka kwenda South Africa anahitaji Visa? na kuna utaratibu gani wa kupata visa.

  Waungwana naomba mnisaidie katika hili.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yeah visa ni lazima uwe nayo ili uweze kwenda South Afrika. Makubaliano yaliyopo kwenye nchi wanachama wa SADC ni kwamba huhitaji kuwa na visa kwenda nchi yoyote ambayo ni member wa SADC na nilishawahi kwenda Botswana bila visa. Ila South Afrika pamoja na kuwa member wa SADC wali-impose hii kitu baada ya kuona wabongo wanazamia sana huko. Sijui kama hii ni kwa WaTZ tu au na kwa nchi zingine ambazo ni wanachama wa SADC.
   
 3. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Namie nimeshangaa nadhani ni kwa Tz tu na baadhi maana Malawi, Swazi na wengine naona wanaingia tu,
  still on the subject, je whats the minimum travel to SA?
   
 4. m

  mafungu Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama vp chai chai tu nao wakitaka kuingia tz wawe na visa
   
 5. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Sio kweli kwamba ni kwa Watanzania peke yao. Hata wananchi wa Zambia, Zimbabwe, Mozambique, Angola, Madagascar n.k wanatakiwa wawe na visa. Ila kuna wananchi wa Swaziland, Lesotho na Namibia hawa hawaitaji visa ya kwenda S.Africa. Hizi nchi kimsingi zina Custom Union ya pamoja kama sisi tunavyotaka kufanya kwenye East Africa Community.

  Hivyo wana uhuru zaidi ya maingiliano ya watu na biashara kati ya nchi yao. Ukienda Namibia pesa inayotumika ni South African Rand. Kimsingi wa Tanzania tulipaswa tuingie South Africa bila visa au hata kupatiwa visa pale Airport lakini kwa sababu za kuzamia watu wengi huko, serikali ya S. Africa mpaka sasa inasita kufanya hivyo.

  Sasa hivi ni peak season bei ziko juu. Nauli kwenda Jorburg na kurudi kwa SAA ni $774. Kuna Air Zambezi inapitia Lusaka wameanza karibuni na bei zake haziko kwenye System lakini itakuwa bei poa kidogo. Ukiwataka nenda JM Mall uliza Fast Track,
   
 6. K

  Kekuye Senior Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama wamefanya mabadiliko ya utaratibu hivi karibuni (na inategemea unakwenda kwa shughuli gani) ila walikuwa wanakuhitaji uwe na
  1.Pasi ya kusafiria- ukiweza utoe nakala moja ya ukurasa wenye taarifa zako.
  2.Barua ya mwaliko kutoka kwa mwenyeji wako-hata kama unakwenda mkutanoni au vinginevyo
  3. Ada ya maombi ambayo ilikuwa sh 37,000/- za Tanzania
  4. Nakala mbili za passport size
  5. Barua ya mwajiri wako (kama umeajiriwa)
  6. Utajaza fomu -ipo ubalozini kwao.

  - Watatumia muda wa siku 3 za kazi kushughulikia maombi yako
  - Pia waliacha utaratibu wa kutoa 'transit visa'
   
 7. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Thanks so much Byasel, kuunganisha Zambia no unachoka nimepitia hiyo juzi, nitawatafuta,
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Mkuu,watu wa Msumbiji huwa hawahitaji Visa kuweza kuingia Africa Kusini. Kuna rafiki yangu kutoka huko nilimuuliza akaniambia kuwa wao hawahitaji hizo visa.
   
Loading...