Maumivu mengine kigamboni kuanza kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu mengine kigamboni kuanza kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kadudu, Aug 31, 2009.

 1. K

  Kadudu Member

  #1
  Aug 31, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MV MAGOGONI NA MV ALINA nauli juu kuanzia kesho kwa magari na abiria.

  Mzalendo nauli ni 200 kutoka sh 100. Maana yake anatakiwa kuwa na 400 kwenda na kurudi, huyohuyo anaishi chini ya dola 1 kwa siku 1 uki-plus daladala Kigamboni kwenyewe na za mjini ni wazi hali ni maumivu zaidi.

  Ongezeko la nauli eti kuweza kuendesha pantoni zingine za mikoani zinazoingiza pesa kidogo is it fare?

  Wastani wa trip6 kwa saa kwa mv magogoni na watu 2000=12000 peoples times 100 (old price) = 1200000 kwa saa (kadirio la chini) bila magari n.k,1200000times 18hrs=21600000 Tsh.

  Kuna haja ya kupandisha nauli kwa 100%? Pengine ni sahihi naomba maoni kwa anayejua gharama plz
   
 2. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbunge na diwani wa kigamboni plus wale wa mbagala, mkiwaludisha kwenye uongozi mtatenda dhambi isiyosameheka kwa MUNGU.
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo ile ndoto ya kutuwekea daraja ndio tuifute
   
 4. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,092
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Nadhani wameogopa madhara yake maana asubuhi hii wametoza mia eti mpaka taarifa nyingine itoke.
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa watajifanya wazuri sana, maana uchaguzi upo karibu. We check hata mabarabara yanavyojengwa kwa sasa.
   
Loading...