KELO TANESCO:kila jumapili wanakata umeme

KELO TANESCO:kila jumapili wanakata umeme

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Nimefuatilia kwa mwaka mzima sasa, kila jumapili TANESCO wanakata umeme siku nzima,

Je hii ni kelo au sio?
 
Hii ni kero tena kubwa, maana siku ya j,pili ni siku ambayo walio wengi tunakuwa majumbani
 
Back
Top Bottom