Makao makuu ya nchi "Dodoma" kuna mgawo wa umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makao makuu ya nchi "Dodoma" kuna mgawo wa umeme?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magarinza, Aug 31, 2009.

 1. M

  Magarinza Senior Member

  #1
  Aug 31, 2009
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Takribani juma la tatu sasa kumekuwa na kukatika katika kwa umeme maeneo mbalimbali hapa Dodoma pasipo taarifa yoyote rasmi kutoka TANESCO. Suala hili linaleta usumbufu mkubwa sana katika shughuri zetu za kiofisi na nyumbani na hivyo natumia kanafasi haka kuelezea masikitiko yangu kwa TANESCO, kwani mnatunyanyasa!!!
   
Loading...