Kwa watumiaji wa mtandao wa internet!

Mvina

JF-Expert Member
Aug 2, 2009
998
34
Ikitokea ukapata E-mail yenye ujumbe kama huu hapa chini don't expose your information.

Dear Valued Member,
Due to the congestion in all Yahoo users and removal of all unused Yahoo Accounts,Yahoo would be shutting down all unused accounts,You will have to confirm your E-mail by filling out your Login Info below after clicking the reply botton, or your account will be suspended within 24 hours for security reasons.


UserName:
Password:

Date Of Birth:
Country Or Territory:


After Following the instructions in the sheet,your account will not be interrupted and will continue as normal.Thanks for your attention to this request.We apologize for any inconvinience.




Yahoo! Customer Care

Case number: 8941624
Property: Account Security
Contact date: 2009-08-29
 
Kama kawaida wenzetu wa West Africxa wanakuja na scam mpya kama hiyo kila mwaka, madili ya Royal Bank of Scotland sasa naona wameshachoka hawapati watu wamemua kurudi kwenye mail.

Be careful guys na mimi nimepata mail kama hiyo two weeks ago, lakini nilitilia shaka kwani password yangu ya nini kwa admin ambaye akiitaka anaweza kuipata kwa njia nyingine.
 
Kuweni makini guys wenzetu wa west africa kama kawaida yao wanaibuka na kitu kipya kila mwaka, i received the mail kama two weeks ago, na nikaisuspect kuwa sio sahihi na nikaiacha nione kitakachotokea nothing happened to my account.
 
Mimi nilipatikana,ukijaza tu pass word yako hutaweza tena ku access e mail yako kamwe .Rafiki zako wataarifiwa kuwa uko Nigeria umeibiwa unaomba pesa.Chunga sana
 
Mhh! ya kweli hayo?[/QUO

Mbonea hii ni kitu live kama baadhi ya wadau wamejaribu hata kuthibitisha.
So uwe makini au hata ukitumiwa e-mail kuwa rafiki yako anahitaji kiasi flani cha hela mtumie usikurupuke na kutuma,otherwise utakuwa unawasaidia watu kupata mitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom