Eeeeh mungu nisamehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eeeeh mungu nisamehe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pearl, Feb 9, 2010.

 1. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Najua mm ni mtenda dhambi,tena umesema tuwasamehe na kuwaombea,kln Mungu kuna mtu ananikwaza sana Hapa Jf,kwann kila mara anakuwa tofauti na mawazo ya wenzie?Mungu najua sisi sote ni mfano wako tena umesema tutakuwa vichwa na wala si mkia,mbn yy anakuwa mkia?kwakweli sitaki hata kuchangia mawazo yake tena na wala sitaki hata kugombana nae naomba uniepushe nae maana ulisema tuikimbie dhambi hata kwa miguu yetu,nitajitahidi kumkwepa maana nisipofanya hivyo atanikwaza sana.Ameen
  Je na ww anakukwaza?unafanyaje?muombee tu
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,033
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  saba mara sabini ameen,lol sikujua kama we mtaalamu wa maswala haya.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,644
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Pearl nani huyo anayekukwaza jamani? pole sana
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  My dia kutokana na hiyo sla hapo juu utamjua tu,si tuliambiwa tutawatambua kwa matendo yao?
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,483
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Kumtaja kutasaidia ili aweze kujiangalia na kujikosoa.
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  As a christian you have to remember where we came from so that we can understand where people are today. So don’t have the attitude that you don’t like kuchangia mawazo yake tena you as a christian na unajua kuwa hukuwa perfect at time i would suggest you Help that person. Be honest with him/her. Help him/her become better. This is your job as a Christian.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,480
  Likes Received: 7,497
  Trophy Points: 280
  He JF kuna mambo,.MY DEAR JIFUNZE KUAGREE TO DISAGREE mara nyingine tunamsumbua tu MUNGU kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu.
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  I guess ni kaka Akili Kichwani!!!! twin correct me if am wrong....
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 40,252
  Likes Received: 33,570
  Trophy Points: 280
  Dogo challenges ni kitu cha kawaida kabisa..
  maudhi na yale yote tulisiyapenda yatukute ni challenges ambazo inabidi tuzikabili.
  Jaribisha Furahia maudhi yake...
  hakika atajiona hastahili kukufanyia ubaya anao kufanyia na mtakuwa sawa kabisa.
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  May be!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mmmh I don't know!!!!!!!!!!! Can be someone else!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  true uncle
   
 12. B

  Bull JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF ni mathink tanks

  think tank, hail them as "one of the main policy actors in democratic societies ..., assuring a pluralistic, open and accountable process of policy analysis, research, decision-making and evaluation

  Kama kuna mtu hapa jf ankukwaza kwa sababu ana tafautiana na mawazo yako, basi wewe ustahili kuwepo jf, nenda kwanza kaombewe dhambi zako ndio urudi

  jf nisehemu ya openly discussion, kupanuana mawazo, sio sehemu ya kukwazana wala sisehemu ya dhambi bali ni sehemu ya kuvumiliana na kuelimishana.
   
 13. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  you are coreeect!!!!!!! conlatulations............
   
 14. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimekupenda sana kwa maoni haya.

  muulize kuwa yeye na BF/dume lake wakifanana nani ataumbuka kubeba kitambaa???????????

  ajitoe JF, inaonekana haiwezi, akakue kwanza huyo dogo
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yep,
  akafute kwanza maziwa ya mamaye mdomoni, inaonekana bado kinda ........
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  twin JF TUPO WATU KIBAO WA AINA TOFAUTI SI RAHISI KUIVA NA KILA MTU. KUTOFAUTIANA HAPA IS INEVITABLE!!!! WEE HUYO MMOJA TU.......

  WALA USIJALI HAYA MAMBO YA KWAIDA SANA KWENYE JAMII YOYOTE ILE HATA YA MTANDAONI!!!
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  thx love
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,033
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  ee bwana mkuu punguza bangi kidogo mkubwa.
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Babu kumbuka tulifanya sala usijali
   
 20. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,033
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  ngoja wenye mali wakusikie naona hujawahi pigwa mangumi online wewe.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...