Mbuzi wa Ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbuzi wa Ajabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumbalawinyo, Feb 9, 2010.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbuzi unaowaona pichani hupatikana nchini MOROCCO, inasemekana ni kawaida kuwaona mbuzi wakiwa wamepanda juu ya vichaka na miti midogo ni kwa sababu wanafuata matunda yajulikanayo kama ARGO, kutokana na kuyapenda sana matunda hayo basi mbuzi hao hudandia juu ya matawi ya vichaka ili kupata matunda hayo.


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,262
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Ukichelewa kufa utaona mengi,sasa hao mbuzi kule juu ya mti wanashuka vipi?
   
 3. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dont underestimate goats power:)
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,245
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Malila...u just made my afternoon.:D..ningependa kuwaona wakishuka!! hujafa hujayaona!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  No gravitational force at all....lol!
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  watashuka kama walivyopanda au?
  banaee, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa!!! hapo chacha!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,478
  Likes Received: 9,892
  Trophy Points: 280
  hawa sio mbuzi ni mapepo wachafu
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hawa watakuwa Mbuzi wa Kichina!
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Logic kaka wewe inakuwaje?kama wameweza kupanda itakuwaje washindwe kushuka,hata wakidondoka tu ni usafiri tosha kufika chini mzee...Kupanda ni kazi zaidi ya kushuka mi nadhani hivyo...
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,196
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Usihofu hapo wanachumpa tuu!!
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,196
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Aaaaaah,hii dunia sanaa haiwezi kwisha,tutafanywa wajinga mpaka kaburini!
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I can't rule out the power of fotoshop. Mboni kwenye picha ya kwanza hapo sikioni kivuli cha huyo mbuzi?? Ati nyie mwakiona?
   
Loading...