NImeanza kukata tamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NImeanza kukata tamaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Feb 1, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya

  vilevile wamarekani na other first world wamejaribu sana kututengenezea mazingira ya ajira humuhumu nchini tena kwa kutushawishi kutokea makwao tulipokua "tunatafuta"

  Nilipambana sana kwenye ile thread ya educated immigrants, bongo tambarare, etc. lakini naona kama gesi yangu inaisha

  sioni dalili za nguvu za kusema kwamba tunasimika taratibu mpya za maisha na levels of efforts za watendaji wa serikali zinanivunja moyo!!!

  Tuliahidiwa na "mtaalam JK tujiunge kwenye professional groups tupate platform --- trust me, hali ni ileile!!! even the groups zilizopo zinaenda ki-Freemasons

  Naanza kutamani tena kupiga maboksi, kuangalia elevators, kupita kwenye barabara safe na kuepuka hasira za daraja la kigamboni, nililoona mchoro kwaka 2007,

  I AM LOSING HOPES DESPITE ALL MY INDIVIDUAL EFFORTS NA KUKESHA KUJIPENDEKEZA KUFANYA KAZI.... TENA HILO NDIO LIMENIMALIZA KABISA KWANI NDIO NAONEKANA MBAYA
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  De Novo USITENDE HIYO DHAMBI YA KUKATA TAMAA!!!! mUNGU AKUPISHIE MBALI...
   
 3. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni kweli bht, do your part, thats all. Even Rome was not built in a day. Taratibu tutakuwa wengi tu wenye moyo na nchi hii. Ukiacha vacuum inajazwa na wageni toka EAC.
   
 4. N

  Ngala Senior Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUKATA TAMAA NI KIGONJWA GANI HICHO? Au ni ugonjwa mupiya maana sayari hii haichoki kuzua vigonjwa vya ajabu kila kukicha.NDUGU CHONDE USIKATE TAMAA uendako siko utajitia kitanzi bure na hayupo wa kukuonea huruma. ACHA NA FUTA KABISA AHADI HEWA ULIZOLISHWA NA KUAMINISHWA. Sayari hii ni yako P A M B A N A!!! Mafanikio ni dhahiri kwako! Kama upo shamba pasua ardhi ongeza akili zaidi nina IMANI UTAFANIKIWA TUU.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,574
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  Swali la msingi... akishakata tamaa what next??
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Thanks Mama Joe... Yote hayo ya kutia moyo nayatumia sana nadhani hata upiganaji wangu kuhusu bongo utakua umeusoma (japo kidogo), tatizo naona kama hali inakua ngumu kiasi cha kuona kila mzalendo ananunulika kwa kipande cha kanga

  Kazi na biashara zimekua synonym na rushwa na ni narda sana kuona mtanzania anaye-embrace rationality na morality!!!

  Imekua NCHI YA KITU KIDOGO
   
 7. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Inakatisha tamaa lakini tusikate tamaa kwani tuna wajibu wa kuitengeneza bongo kwa ajili ya kizazi kinachotufuata, tuendelee kupambana iko siku mambo yatajakaa sawa. Kukata tamaa ni kumruhusu adui yako kupata ushindi wa chee, usifanye hivyo tafuta njia mbadala ya mapambano.
   
 8. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  De Novo hauko peke yako, so you efforts are not in vain. Iko siku watu wataamka wengi na kudai haki zao, kumbuka ukoloni ulivoisha watu kama Nyerere na degree zao walipoteza kazi, kufungwa itakuwa sie tuko kwenye viyoyozi tu. Katika kila safari tazama kulia na kushoto lazima kuna wenzio hujauliza tu. Nikiangalia job application watu wanakuja toka filipino, EAC ndo usiseme na wanakaa wafanyekazi hapa. Mtaani viwanja wananunua kama njugu, haya ardhi, business opportunity zinazochukuliwa na foreigners so kwanini mie niwe second citizen uko ugenini?
   
 9. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  The best way to regain hope in this world is to die
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Dah!homeboy de novo umenitisha kiaina.umeitisha na projekti yangu pia
   
 11. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,096
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu DeNovo pole sana....mbona utakata tamaa sana pale uchaguzi utakapoisha na nyuso /serikali ileile itakuwa madarakani,I mean no change at all!!!!!Anyway sikio la kufa halisikii dawa.Acha tujipigie mabox kuliko kujiumiza vichwa bure.
   
 12. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  bado tuna taizo kubwa sana kwenye mfumo wetu Mama kitu ambacho kimepelekea hata mifumo yetu ya kufikiri ilemae, mimi sijakata tamaa lakini nimeanza kuchoka. Sasa sijui kati ya kuchoka na kukata tamaa ni ipi mbaya,
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  De Novo bra hapa sijakuelewa kabisa, please clarification zaidi
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  usikate tamaa, jaribu tena...wakati ndio huu...
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 40,252
  Likes Received: 33,572
  Trophy Points: 280
  Usiyaamini tena maneno ya wanasiasa wa chama hiki.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Namaanisha kwamba hivi viajira tunavyozungushia mjini vingi ni kampuni au organizations za first world, yaani ukiondoa bakhresa na serikali... ahata hizo ajira kwishnehi!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Cousin, project yako iko palepale, ni kwamba natembea kuliko wale nzi wa CCM (kijani) ila wiki hii natua Dar hadi valentino

  Hatuachi kitu kwenye sera yetu ya udugu na mahusiano...

  tatizo langu liko kule ambapo tuna-politicize hadi uchumi, matokeo yake hakuna kinachoenda; yaani juzi pinda anashangaa mashangingi ya serikali, halafu chama chake kinanunua mara tatu yake!!! sh!t... yaama kama mnara wa babeli hii bongo
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kutegemea wanasiasa, 'serikali' ambazo in actual sense ni magenge ya mafioso and many other wrong institutions zitatatue matatizo yetu ya kiuchumi na kijamii ni sawa na kupanda chelewa ukitegemea utavuna mnazi.
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu mtamsusia nani hii njiii????? nani ataifanya TZ kuwa the best country to live??? bado ni sisi watz!!!! We M beba watever u have to beba but remember this is ur country and your responsibility!!!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu, wacha tu tupambane hivyo hivyo... unajua hata kama baba mzazi ni kichaa utaishia kuchoka kwa muda au kulia lakini ni lazima uhakikishe anaoga, anavaa, ananyolewa nywele na kulindwa hadi mungu atakapomchukua

  Ngoja tuilee hii bongo yetu inayoharibiwa na sisi wenyewe
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...