UvCCM wapata ajali mbaya Igunga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UvCCM wapata ajali mbaya Igunga!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Diwani Mtarajiwa, Mar 3, 2010.

 1. D

  Diwani Mtarajiwa Member

  #1
  Mar 3, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wa CCM waliokuwa wakitoka Iringa kwenye kambi maalumu ya Uvccm taifa wamepata ajali mbaya jioni hii huku hali zao zikitajwa kuwa mbaya na sasa wapo katika hospitali ya wilaya Igunga baada ya kupatiwa huduma ya kwanza na wasamaria wema hii nim ajali ya tatu katika siku tatu mfululizo katika eneo la Igunga na Nzega
   
 2. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hatuwapendi ila hatutaki wafe. Tunawapa pole wapone. Tunataka washindwe uchaguzi sio kufa. Poleni adversaries
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tuwaombee wapone haraka ili waweze shiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa Rais , Wabunge & Madiwani-2010
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tusifike huko jamani, si kila mwana CCM ni mbaya/fisadi.....
   
 5. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wabongo bwana mawazo yote ni kwenye uchaguzi tu hatufikirii familia zao zitakuwaje tunasema wapone ili washiriki uchaguzi ni sawa na kusema hata punda akifa mzigo wa bosi lazima ufike jamani
   
 6. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2010
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mola awepe afueni.
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Vifo vingi vinatokea kwa WaTanzania kila siku vinavyosababishwa na ufisadi wa chama na serikali yao!!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hapo lazima kuna mkono wa mtu! poleni sana vijana
   
 9. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  pesa ndio kila kitu
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 11,010
  Likes Received: 3,272
  Trophy Points: 280
  Mbona mnatumia font color nyekundu?
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Poleni na MUNGU awaponye mapema!
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Poleni Vijana wote mliopata ajali, jamani mimi sipendi Vijana mjihusishE na hilo dubwana maarufu kama CCM.
   
 13. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,824
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka utotoni tunapocheki Movies za Bluce -lee - utasikia " hiyo trailer tu - bado yenyewe haijaanza"..nafikiri kwa hawa ndugu " hiyo ni Trailer....tu movie bdo mwezi wa kumi"
   
 14. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona wewe umetumia
   
 15. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,667
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160

  Una maana zitatokea nyingi upande wao?
   
 16. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kumbe wewe nani? Banyamulenge!?
   
 17. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleni sana kwa wote kwa ajili yenu
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Mar 4, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kina nani hao..ningependa kuwafahamu kwa majina.
   
 19. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tunadumisha chama mkuu.... MSIMBAZI KWA SANA TUUUUUUUU
   
 20. upele

  upele JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie siombi lolote cous wanazidi kujipendekeza wao wanafaidi wengi wanaumia hivi uvccm ni chama cha vijana au ujinga vema kwa ccm
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...