Jamani kwa taa rifa tu inmeiona kwa macho yangu meli inaungua hapa bandarini.inasemekana jamaa walikuwa wanaifanyia maintanance,ni ya mizigo.kwa jinsi ilivyochoka itakuwa ni ya kibongo tu,jina...
Wabongo tunajifanya WAJANJA SANA kumbe hatuna lolote, mladi wa maji wa serikali morogoro road na bagamoyo road 'BURE' WAKANDALASI WAJAMAA' WACHINA' serikali wamelipia kila kitu, wako watu...
Wanajamii,
Nina kaka yangu aliajiriwa na TRC tangu amalize chuo cha Reli miaka ya 1990 upande wa karakana kama fundi wa Engine za Treni. Sasa mwaka 2007 akiwa kitengo hicho hicho cha ufundi wizi...
Wana jf, kazi mbaya unayo ukiwa huna 'NZURI' kazi yeyote unayofanya sasa usiidharau hata kidogo hatakama inamapato madogo inakujengea heshima kubwa kutokana na hali ya sasa ya maisha ngumu.Kwa...
Kampuni 13 jijini Dar es Salaam zakiuka mkataba ya kufanya biasharaNa Zaina Malongo
KAMPUNI 13, jijini Dar es Salaam zimebainika kufanya biashara kinyume na taratibu za miktaba waliosaini na...
Hatuoni aibu loo!
Inasikitisha sana dunia ya leo kwa nchi kama Tanzania kuona na kusikia habari za baadhi ya watu kuwaua Albino kwa ajili ya kazi zao za kishirikina.
Mungu atuepushe!
Wakazi wa Tegeta eneo la wazo hill wamelalamika kwa ukosefu wa maji safi huku wakiishi mita chache tu kutoka lilipo tanki kubwa la dawasco. Jana nilikuwa maeneo ya huko, eneo maarufu kama...
Wazungu wezi wa ATM wamkataa mkalimani
na Happiness Katabazi
UPANDE wa mashitaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ulishindwa kuwasomea mashitaka raia wawili wa...
habari za mda wana jf wenzangu.
leo napenda pia kushea nanyi kwa mara nyingine mazungumzo yangu na baba yangu tuliyofanya kwa njia ya simu mara aliporejea nyumbani toka huku niliko alipokuwa...
Njia ya kuepukana na nightmare ni kulala bila ya nguo (kama ulivyo zaliwa)na sio tu inakuepusha na ndoto mbaya, pia inapelekea kukuzisha afya ya sehemu za siri kwa kuziacha kuwa free inapofika...
'Tafadhali Mungu, ibadilishe ngozi yangu niwe kama mzungu' nilikuwa nikiomba dua kila siku kabla ya kulala. Kwa kawaida mtu ungeona ni ndoto lakini kwangu imekuwa kweli kwani hivi sasa nimekuwa...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliyofanyika huko Kaboya mkoani Kagera Jumamosi hii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
charles mukuru on the move
Tanzania in Peril:
A Response to John Mashaka & Dr. Shayo
My fellow countrymen, as I start; I am aware that some of us hate the fact that our fellow Tanzanians, Mr...
Mzee wa red cars anajulikana hadi kwa mkulu wa kaya! Hicho ni kipande cha gazeti la Erick Shigogngo mzee wa global publishers wakati huo akitoa gazeti la The Bongo Sun.
Mfanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Nasoro (41) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la kuingia Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete na kuiba ua moja lenye thamani ya Sh. 5,000, mali ya...
MWANAMKE mmoja alijikuta yupo kwenye wakati mgumu baada kugundua kuwa amebadilishiwa mtoto wake aliyejifungua kutoka hospitali na kuondoka na mtoto sio wake.
Chanzo cha habari kilisema kuwa...
If possible send the following information concerning :
· Tanzania, Dar Es Salaam Port
· Trade volume:
exports, and imports in tons (time series from 1995-200 à origin destination portsà cargo...
Naona wakati mkutano ukianza, Dr. Shein alikuwa interrupted na waandamanaji Wazimbabwe, waliopinga kitendo cha Tanzania kukaa kimya hali ni mwenyekiti wa AU.
Mengi yataendelea kuwafikia. Baadae...