Liyumba atatoka keko kweli?!

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Mzee wa red cars anajulikana hadi kwa mkulu wa kaya! Hicho ni kipande cha gazeti la Erick Shigogngo mzee wa global publishers wakati huo akitoa gazeti la The Bongo Sun.
 
Attachments

  • LIYUMBA.pdf
    122.6 KB · Views: 203
Yule akitoka ataendelea kunyonga madada zetu wapenda vya burebure!
Mwache akae hukohuko ndani , aendelee kujumlisha moja na mbili!
 
Mkulu aliwahi kumtaja Tabora wakati akihutubia japo si kwa jina! Alisema ni mzee wa red cars!
 
Mambo ya VK hayo!!! Kwa kisasi tu sijambo!!! Si cha kutumia Bill au lolote, ni kwa kutumia vifungu vingine vya sheria tu. Weka dhamana nusu ya ulichokwapua in cash or in kind!!! Nilijua huwezi lipa dhamana hiiiiiiiiiiii. Utanikoma Yakhe!!!!!! Pole mzee Amatus Liyumba, kila rangi za kinyonga utaziona, japo ulipendezwa na Red na mwisowe nasikia Black!!!!!! Sijui ilikua inaashiria msiba au.Jibu unalo baba Jenifer!!!!
 
VK ndo nini mkuu!

People were looking at those red cars at a narrow minded attitude!! Eti Liyumba ata bilion 500 angeweza lipa, THUBUTU! Nasema hivi hata 20billion hana!!

Let's do simple calculation;-
Assume kaonga magari 20 ambayo am sure hata kumi hayakufika (Peole just concluded on sample red cars he gave those ladies). Then assume kila gari ni Million 15, kwani mengi yalikuwa Rav4, saloons na M-Benzi. You only get 300Million, hata nusu billion haifki.

People just rushed at conclusion eti Liyumba atalipa hiyo dhamana! Hata nyumba ya Mbezi ilikuwa inflated! Million 800??? Iko Masaki au Oysterbay, no matter how big it is!
 
You said it all mkuu wangu. Huyu jamaa alikuwa kalubandika tu, hana lolote.Pesa alitumia nyingi kuhonga mama, dada, kaka na watoto zetu. Asset za maana kama anazo ni chache pengine anaogopa kuzitoa. Pia ile nyumba ya Mbezi beach hata mahakimu wanaiogopa maana wanajua ilichezewa thamani na hakuna atakayethubutu kucheza na kesi hii yenye special and authority interest. Acha alale kwenye cell ya Keko, ashukuru analala VIP.Nilitaka wamweke kule kwa wasela, wamkomeshe!!!!
 
Mkuu bado hujanisaidia kuhusu VK!
 
Mkimwachia ataendelea na mchezo wake,bora aendelee kuhifadhiwa selo ili Dada zetu wawe salama.
 
Wote aliokuwa na uhusiano nao hakuna hata mmoja aliyewahi kuripoti polisi kwamba kabakwa,
wote walikubali kwa ridhaa yao, na kwa tamaa ya magari na vitu vya gharama wakajitumbukiza, tena zama hizi ukimwi unatangazwa kila mahali kila mtu alajua madhara yake,
yeye ana makosa yake,lakini na kina dada nao wana makosa kwa kupenda vya bure ukishawishiwa ukashawishika hiyo ni juu yako.

Kuendele kumuweka keko haitasaidia sasa hivi kila mtu ameshamjua tatizo lake, hata akitoka hawezi kuendelea na mchezo wake , hata afya yake imeanza kuzorota,

Kwa hali yake naona hatakiwi kuendelea kukaa huko, anatakiwa dawa, chakula kizuri, mazoezi na pia hatakiwi awe na mawazo yatazidi kushusha kinga yake ya mwili.
 
Kama haya yanayozungumzwa humu na waungwana ni ya kweli basi huyu hatakaa atoke keko hata iweje..
 
Yule akitoka ataendelea kunyonga madada zetu wapenda vya burebure!
Mwache akae hukohuko ndani , aendelee kujumlisha moja na mbili

jamani mpaka anakamatwa alishaachaga kutafuta wapya anachofanya ana recycle wale aliowapitia..so tatizo la sasa si lyumba tena ni wale madada zetu wanaosambaza ovyo kimwali cha lyumba....mmmmmhhh
 
hivi hawa dada zetu walikuwa wanabakwa au wanatoa huduma kwa ridhaa yao?
__________________

RIDHAA YAO UNAMAANA YA bure AMA KWA pesa....???
 
Nataka kujua maana ya RED CAR, VK, WANAWAKE NA MAENDELEO. hapa ni vyema tukawa wazi kuliko kufumba fumba kama mademu????!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom