Watanzania wananunua haki yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wananunua haki yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salehe Ndanda, Jul 28, 2009.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabongo tunajifanya WAJANJA SANA kumbe hatuna lolote, mladi wa maji wa serikali morogoro road na bagamoyo road 'BURE' WAKANDALASI WAJAMAA' WACHINA' serikali wamelipia kila kitu, wako watu wanalipia 'WAKATI NI BURE'
  *HUU NI UJINGA AU KUTOKUELEWA?

  -Wanaofanya hivyo ni wakandalasi wa KIBONGO si WACHINA
  -Kwa wale wakandalasi wa kibongo ile ni RUSHWA lakini namnuku mwalimu J.K.Nyerere alisema yule anayetoa Rushwa na anayepokea Rushwa wote ni misukosuko'MANZI GA NYANZA ' soma kitabu cha 'NYUFA' MWL, J.K.NYERERE utapa huondo huu shilingi 1500 tu tupo posta india na makunganya street mkabara na Doctor Khani, VIPO VITABU VINGI hata hatima ya uongozi wetu kipo cha kingeleza 3000 tu. 0716 950858. pata huondo huu NYUFA ILIKUWA KILIMANJARO HOTEL 1985 PUMZI ZAKE ZA MWISHO ALIMWAGACHECHE PALE. WANAJF MMESOMA KITABU HIKI, NYANI GHABU VIPI? MUOSHA UOSHWA VIPI? NA WENGINEWE.
  MBONENYAI.
   
  Last edited: Jul 28, 2009
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bonge la advertisement, nakuunga mkono kwa kuwa mbunifu wa kutafuta masoko ya bidhaa zako. Tunahitaji watu kama wewe Tanzania.
   
Loading...