Meli inaungua bandarini dar sasa hivi

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
Jamani kwa taa rifa tu inmeiona kwa macho yangu meli inaungua hapa bandarini.inasemekana jamaa walikuwa wanaifanyia maintanance,ni ya mizigo.kwa jinsi ilivyochoka itakuwa ni ya kibongo tu,jina sikuweza kupata ila taarifa zaidi baadae
 
Kama uko karibu si utujuze live mkuu. Baadae ya nini tena? Vipi zima moto hakuna hapo bandarini au ndo wamegoma mazima?
 
nimeiona MV alina (ile pantoni ya kigamboni) na meli nyingine tatu za uokoaji, zikiwamo mbili ambazo ni zimamoto zikiendelea na juhudi za kuukabili moto huo na wanaonekana kufanikiwa
 
Hii iunganishwe na ile ya maxence inayohusu same issue.

mods pleeeeease
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom