Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,775 Reaction score 37,969 Jul 28, 2009 #1 Hatuoni aibu loo! Inasikitisha sana dunia ya leo kwa nchi kama Tanzania kuona na kusikia habari za baadhi ya watu kuwaua Albino kwa ajili ya kazi zao za kishirikina. Mungu atuepushe!
Hatuoni aibu loo! Inasikitisha sana dunia ya leo kwa nchi kama Tanzania kuona na kusikia habari za baadhi ya watu kuwaua Albino kwa ajili ya kazi zao za kishirikina. Mungu atuepushe!