Kazi mbaya unayo,kazi mzuri huna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi mbaya unayo,kazi mzuri huna

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salehe Ndanda, Jul 28, 2009.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf, kazi mbaya unayo ukiwa huna 'NZURI' kazi yeyote unayofanya sasa usiidharau hata kidogo hatakama inamapato madogo inakujengea heshima kubwa kutokana na hali ya sasa ya maisha ngumu.Kwa hiyo wana jf usithubutu KUACHA KAZI HATA KIDOGO,Wahi kazini wahishimu wakubwa kwa wadogo,Mimi ninakafumula kangu nakatunza mpaka nakufa nakameniletea maendeleo MAKUBWA kafumula ako ni ;

  RFTD
  1. Respect all -Waheshimu wakubwa na wadogo,
  2. Fear none - Usiogope mutu yeyote,
  3. Trust few - Wahamini wachache,
  4. Don't repeat-Usirudie makosa.
  Nimewaona baadhi ya wezangu walioachakazi bila ya sababu za msingi wanavyotaabika sasa it is verry terrible,hata mia mbili wanaipata kwa shida. wana jf tengenezeni Dunia hapo mlipo, tengeneza Dunia usiogope mutu.Natengeneza Dunia hapa nilipo nina miaka 11 kazini.
   
  Last edited: Jul 29, 2009
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuacha kazi sidhani kama ni jambo baya provided umeshajiandaa na kufanya homework ya kutathmini vya kutosha kuwa unapoacha unaenda kufanya kitu gani na uhakika wa hicho unachotaka kukifanya.
   
Loading...