Kwi,kwi kwi...Sawasawa. Nitajitahidi. Ila Kwa mbali naona walinzi wake wananikodolea macho!
Hao wazimbabwe wanatka Tanzania ifanyeje??
Mie kwanza nimeshaanza kupata Hasira,KWanini US na Uk wanaanza kuingilia mambo ya Afriak?Kwani Zim ni koloni la Muingereza??Mie nadhani bado tumuache Mugabe atawale huku tukisubiri mtu mwingine mwenye kuweza kuongoza Zim kwa manufaa ya waafriak na sio kuendeshwa na mtu ambaye yuko london au Washington.
Tukiachilia mbali heckling iliyotokea na siasa za Tanzania, kuna muhimu katika forum hii pia yaliyoongelewa; yakiwemo opportunities and challenges for Diaspora. Pia mambo ya job markets. Acha niishie hapa.
Sawa Mama. Kuna workshop on skills inaendelea, Kitila Mkumbo ndiye facilitator.
Kongamano likiwa bado linaendelea, Kitila Mkumbo kamlima maswali gavana wa BoT kwa kushindwa kuongelea ufisadi uliotokea pale benkini. Watu wamemshangilia.
Balozi anamshambulia Kitila moja kwa moja. Kachukia Kitila kuongelea EPA.
Balozi Maajar analaumu blogs (jf included) kwa kutukana watu/viongozi na anasema tuko out of touch. Hatujiungi na TA (tanzania association)