Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati serikali ikikiri kuwa kuna ubungufu wa walimu nchini, walimu waliohitimu stashahada na shahada mwaka jana mwezi 5 na 6 bado hawajapatiwa ajira zao,kwa kawaida uchukua miezi miwili hadi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
What is Cheka time activation procedure? Award: Cheka 200: minutes 15: Tarrifs: 200: Days: 1: Start time: Anytime, Applicable time band:02:00 am-04:59pm, 10:00 pm-01:59am Applicable days: Mon -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana jioni mida ya saa moja na nusu hivi palikuwa balaa na foleni kubwa mtaa ule wa tip top baada ya wananchi na wapita kujaa barabarani na kushangilia kile kilichokuwa kinatokea katika moja ya...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mahabusu waliovua nguo kushtakiwa Na Cresensia Kapinga, Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linatarajia kuwafikisha mahakamani mahabusu 23 wanaokabiliwa na kesi za mauaji na unyang’anyi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Daniel Mjema, Moshi WAFANYAKAZI kadhaa wa Benki ya CRDB Limited matawi ya Vijana Jijini Dar es Salaam na Marangu mkoani Kilimanjaro, wanashikiliwa polisi kutokana na wizi wa Sh400 milioni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndugu, my sisters and brother as we all know Science and Technology is the source of incramental change, alot of money have been used to bring in the optic fibre claiming that it would offers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tunateseka sana na hawa madalali jamani kwa nini mmiliki wa nyumba asiwe anakwenda kutoa tangazo kuwa anapangisha kuliko kukabidhi hawa watu wanaotaka pesa zetu uku wakiwa wamekaa chini ya miti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je ni kweli kuna watu wana bahati kuliko wengine au ni kwamba kuna watu wanajua kuona opportunies kuliko wengine na kuzifanyia kazi? Je is it being at the right place at right time, au kila mtu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni shabki mkubwa wa huyu jamaa Fred fidelis au maarufu kama Fredwaa aliyekua mtangazaj wa RFA je mbona cmckii cku hizi?ana matatzo gana?mwenye habari kamili a2julishe tafadhari
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A decomposed body of a 25-year-old Tanzanian student was found in his flat at Alwal area here this morning and police suspect that the student might have committed suicide. According to Alwal...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanini hatuwaenzi mashujaa wetu??? Kwanini Kusiwe na Movies za kuwaenzi kina Mkwawa e.t.c ili watoto na wajukuu wetu wawajue hawa watu (badala ya waigizaji wetu ku-act movie nyingi kuhusu...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Jamani ivi ni kwanini Mh. Dr Dr Dr J.Kikwete haendi Mecca hukiji nae aitwe Alhad'j Dr Dr Dr Kikwete.
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Please see the Attachment on "How US Gets Oil for Free"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi nisaidien kwa hili!! Nilisikiliza hotuba ya m***re iliyo na maneno mazuri na yakuvutia!nilikuwa naomba kama inawezekana kuna producer au dj atengenezee beat/midundo achanganye na verse...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamods, mnaweza kuitengenezea WikiLeaks group lake, ili hizi leaks zote zikija ziwe posted huko. Tutaweza kufuatilia vizuri. Naomba kuwakilisha hoja.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iranian national and two Dar es Salaam residents have appeared in court here yesterday where they were charged with conspiring to traffic 50 kilogrammes of cocaine worth 1bn/- from Dar es Salaam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kunamsemo: Kati ya wanaume 1000, 999 hufuata wanawake 1(mmoja) tu nikiongozi Wana JF je kuna ukweli katika msemo huu? Cjaupenda sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bili yamponza aliyejirusha ghorofani Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:5 KIFO cha mwanamke anayedaiwa kujirusha ghorofani juzi kilitokana na yeye kujaribu kukimbia bili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
1- Presidents Tanzania imekuwa na marais wanne - Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete Marekani kwa kipindi miaka hamsini yao ya kwanza walikuwa na marais nane - Washington, Adams, Jefferson...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy New Year To You all! Yeyote anayefahamu kampuni zinazohitaji "online surveryors" au kazi yoyote mtu anaweza kufanya kutoka kwenye computer yake akalipwa; kwa maneno mengine 'work from home...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom