Naona kama siku hizi za karibuni hapa dar kunakucha (jua linachomoza) mapema kuliko kawaida (nahisi kama kuna tofauti kidogo na miaka iliyopita kwa kipindi kama hiki). Kwa mfano, kuanzia saa...
Nauliza hivi baada ya kupishana na vijana wawili wa kihindi hapa mlimani-UDSM. Hawa ni wahindi waliozaliwa na kukulia hapa bongo. Kuna watz wenzangu wanaozalia nje ya nchi na watoto kukulia huko...
WanaJF wakati tunakaribia kuanza weekend tafadhalini naombeni mnijuze nitapata wapi GYM nzuri maeneo ya Kinondoni kwa sababu ni eneo rahisi kwangu kutokana na office sitaki ile ya pale maji...
Katika kikao kinachoendelea cha kupiga kura ya uspika,wakati wa maswali kwa bwana Marando mic zote zilizimika,mi nahisi zilipata wazimu au zilijua kuwa muuliza swali(Bw.Olesendeka) anataka kuuliza...
Madereva pale wazo wanahitaji mwandishi wa habari kuelezea matatizo wanayo kumbana nayo pale kiwandani,wanasema wana siku ya nne leo hawajapikia cement na hakuna maelezo yeyote kama kuna...
From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010 @ 11:43, Total Comments: 0, Hits: 384
ARUSHA is increasingly becoming home to bizarre incidents as evidenced, this time, by a blood chilling...
Hivi jamani mambo ya IT yametupitia kushoto? mbona website za SUA na MUCCOBS badala ya kuboreshwa zinazidi kuwa na quality mbaya na ya kutoridhisha? au ndo mambo ya kupeana tenda? kweli inakera...
Askari magereza amuua mwananchi kwa kumpiga risasi baada ya ng'ombe kuingia katika eneo la magereza. Kamanda wa polisi mkoa wa mara bw. Robert boaz amethibitisha tukio hilo.
Mtuhumiwa huyo...
Wamarekani wanajuta...... na mfano ukiwa tamko la Collin Powell mwaka 2005 ....wanajuta kwa kitendo cha majeshi yao na yale ya washirika wao kuvamia Irak.
Msemo unaotumiwa ndani ya shirika la...
Nilikuwa nikiingia jamiiforums kwa simu yangu ilikuwa inaipata moja kwa moja lakini wakati ule wa uchaguzi mkuu ambapo trafic ilikuwa kubwa sana ilipotea hewani. Kwa sasa inabidi nichague PC mode...
Yaani mnakuwa kama watu wa ajabu inakuwaje kuwaje mnaiungisha ITV na CNN au BBC ,naona huu ni uzezeta na kijidhalilisha ,mbona wao huko hawaiunganishi ITV na BBC au CNN nina wasiwasi hata hawajui...
Cleric claims to have discovered HIV/Aids `cure`
Charles Ole Ngereza
Hundreds of people living with HIV/Aids from different regions yesterday thronged the residence of a former priest with the...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei elekezi na bei kikomo za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 10 Novemba 2010...
Wakuu jana baadhi ya mahujaji wamekwama airport kwa kile kinachodhaniwa ni kutapeliwa na mawakala wa kuwasafirisha.
Lakini hii mbona imeanza kua tabia na imejitokeza hasa katika kipindi hichi...
Kwa zaidi ya wiki moja sasa mji wa kigoma umekuwa katika shida kubwa ya maji ambapo wananchi wanailalamikia serikali ya mkoa huu kutokana na tatizo hilo. Mamlaka ya maji (KUWSA) katika kuelezea...
Source: Yahoo friends
Mobile Phone Tips
----- 4 THINGS YOU PROBABLY NEVER KNEW
YOUR MOBILE PHONE COULD DO
There are a few things that can be
done in times of grave emergencies.
Your...
[B]CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone...