Askari magereza amuua mwananchi kwa kumpiga risasi katika kijiji cha bonchugu-mara

drgeorge

Member
Jun 22, 2009
99
23
Askari magereza amuua mwananchi kwa kumpiga risasi baada ya ng'ombe kuingia katika eneo la magereza. Kamanda wa polisi mkoa wa mara bw. Robert boaz amethibitisha tukio hilo.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa lakini mwanasheria wa serikali mkoa wa mara akaamuru aachiwe huru, akaachiwa.

Sielewi, hivi ina maana mwanasheria wa serikali ndiye anayewafundisha polisi cha kufanya?
Na kama hao polisi walihitimu vizuri? Kwa nini wametii?

Wakazi wa mara hebu tupeni undani zaidi jamani. Tusitangaze amani kwa maneno tu majukwaani.......
 
Back
Top Bottom