kutokana na kuporomoka kwa hela yetu ya madafu dhidi ya dola, bei za petroli na dizeli zimepanda hadi kufikia tsh 2000 kwa bukoba na tsh 1749 kwa dar kwa lita.hivi hali hii mpaka lini wajameni...
Wavuvi wa samaki katika Soko la Magogoni, Dar es Salaam wakiuza kitoweo hicho kwa wachuuzi baada ya kurejea kutoka kuvua. Kwa sasa samaki wadogo ndio wanaopatikana kwa wingi sokoni hapo. (Picha na...
Msajili wa hazina Mr godfrey msella amsema jana ATCL IMESHINDWA KUZALISHA HIVYO NJIA MUAFAKA NI KULIVUNJA NA KUUNDWA UPYA KAMA NIC..
MSELA ALITOA MAPENDEKSO HAYO KTKT KIKAO CHA KAMATI YA FEDHA...
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi...
Wana JF habari.
Jamani nipo katika harakati za kusaka Post grad au Masters katika fani za Procurement and logistics. Kwa taarifa fupi nilizonazo ni kwamba kipo chuo kimoja maeneo ya Chanika...
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu.
Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia.
Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae...
Shija Felician, Kahama
BUNDI mbaya wa tatizo la kudanganya umri sasa ameng'ang'ania kwenye tawi la vijana ndani ya CCM baada ya mwenyekiti wa jumuiya hiyo wilayani Kahama kutakiwa ajiuzulu kwa...
Yesu sasa akawaagiza wale watu kumi na mbili ambao walikuwa wamesikiliza azimio lake kuhusu ufalme kupiga magoti kumzunguka. Akaweka mikono yake juu ya kichwa cha kila mtume,kuanzia Judas Iscariot...
A group of young University of Dar-es-laam students have a developed an application that is yet to take the world by storm.The application which is run a by a web portal can search and help...
Maaskofu wakataa uchaguzi Jumapili
Wednesday, 26 May 2010 04:31
*Ni wa madehebu yote ya kikristo
*Waunda Jukwaa kupata sauti moja
Na Job Ndomba
MAASKOFU wa Madhehebu ya Kikristu...
Kweli huu ni mwaka wa uchaguzi mkubwa humuamkia mdogo "shikamooo kijana" au ndio mkulu unajihami kwa wananchi ili wakupe kura oktoba maana wafanyakazi ni wazi kuwa kura zetu umezikosa...
Tangu Raisi kikwete alipokuwa katika harakati zake za kugombea uraisi kulikuwa na matukio ya hapa na pale kuhusiana na ulinzi wake kwa ujumla. Wengi tunakumbuka tukio la kikwete kuvamiwa jukwaani...
Jamani hebu nisaidieni...
Mwenzenu leo asubuhi wakati niko njiani nikaona hii gari ikiwa mbele yangu, niliipenda jinsi ilivyo, rangi na graphic zake, lakini kilichonishtua zaidi ni kumuona...
Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika eneo la mradi wa Mpango wa Huduma ya Maji na usafi wa Mazingira kwa Jamii Mrosso Mburahati katika ziara yake jijini Dar es Salaam kuangalia hali ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Celina Kombani.
Ofisi ya Waziri Mkuu, imemhamisha Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Shinyanga, Jane...
Shirika la Umeme nchini (Tanesco)
Shirika la Umeme nchini (Tanesco), limetangaza kuzima umeme katika sehemu nyingi za jiji la Dar es Salaam kwa saa nne mfululizo, katika siku za Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.