Nauliza hivi, mbona watanzania hatuna utamaduni?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
11,322
3,482
Nauliza hivi baada ya kupishana na vijana wawili wa kihindi hapa mlimani-UDSM. Hawa ni wahindi waliozaliwa na kukulia hapa bongo. Kuna watz wenzangu wanaozalia nje ya nchi na watoto kukulia huko. Siku wanarudi nchini mtoto hajui hata neno moja la kiswahili! Akijua sana ni salam. Kwa nini kujidhalilisha hivi? Upumbavu mwingine ni pale mzazi anapojisifu eti mwanae hajui kiswahili! SHAME! SHAME! SHAME ON U PARENT! Wakati mzungu anatoka visiwa vya chenge (alikoweka vijisent vyake) anataka kujua kiswahili, wewe unaona fahari kutojua kiswahili? Tubadilike. Mkiwa nyumbani huko ugenini waongelesheni wanenu lugha yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom