Mahujaji

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,664
11,928
Wakuu jana baadhi ya mahujaji wamekwama airport kwa kile kinachodhaniwa ni kutapeliwa na mawakala wa kuwasafirisha.

Lakini hii mbona imeanza kua tabia na imejitokeza hasa katika kipindi hichi hichi cha mjomba?

Isije ikawa inafanywa makusudi ili waweze kupelekwa kwa huruma ya mjomba.

Inakuaje kodi yangu inatumika kuwapeleka?
Hao wanaochakachua fedha za mahujaji wanachukuliwaga hatua gani?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom