Ushauri wa bure kwa Kikwete

akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Wamarekani wanajuta...... na mfano ukiwa tamko la Collin Powell mwaka 2005 ....wanajuta kwa kitendo cha majeshi yao na yale ya washirika wao kuvamia Irak.

Msemo unaotumiwa ndani ya shirika la ujasusi la marekani CIA na Uingereza MI6 pamoja na lile la Canada CSIS ni 'Sadam has killed many in death than when he was alive'.

Kama historia imetufundisha lolote haki huua wengi zaidi inapokuwa imekufa kuliko inapokuwa hai.

Kikwete jaribu kukaa chini na wagombea wenzako muelewane....jifunze mlichofanya Zanzibar ambacho kimewawezesha kuiba bila kupingwa.

Wagombea wa Upinzani na wapiga kura wao watasababisha uharibifu mkubwa usiotibika kwenye kushindwa kwao kuliko hata kama mngeacha haki ichukue mkondo wake.

Kikwete mustakabali wa Taifa hili uko mikononi mwako..Kaeni viongozi wote mtusaidie wananchi.....KUMBUKA...HAKUNA ALIYESHINDA AU ALIYESHINDWA UCHAGUZI HUU....UNAELEWA FIKA KWA NINI MSEMO HUU ULITUMIWA NA WAGOMBEA WAWILI WA ZANZIBAR.....SHAURI YAKO!!!!!!!!!!!!
 
Smarter

Smarter

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
463
Likes
10
Points
35
Smarter

Smarter

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2008
463 10 35
i support this,
for the sake of our national
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
Sielewi hizi tuhuma dhidi ya Mheshimiwa Kikwete unazitoa wapi?

Election Observers kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa wameshiriki na kusema kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa wa Huru na Haki, na pia kama kuna tuhuma zozote za aina hiyo; kuna utaratibu wa kuziwasilisha ili kubaini kama haki imetendekea au la.

Akashube ndugu yangu, nakusihi usiwe MCHOCHEZI
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,595
Likes
5,096
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,595 5,096 280
Wewe makame acha kuupotosha umma ninyi ndio mnatuona sisi ngulubange..nani asiyejua uchaguzi wa Tanzania huukuwa huru na haki?? Wewe unasoma magazeti ya bongo ndio unajidanganya. Soma hata magazeti ya jirani zako utaona vile wanazungumza uchaguzi wetu ulivyokuwa kama mchezo wa kuigiza. Acheni kabisa ccm ni ustaarabu wa watanzania ndio unawafanya mnajipa matumaini hayo. Siku itafika mtashindwa kuelewa kama mlizaliwa kwa ajili ya tanzania au tanzania ilizaliwa kwa ajili yenu.
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
Mimi sijazungumzia Magazeti; nimezungumzia taarifa za Election Observers walioshiriki katika mchakato wa uchaguzi.

Magazeti yana hulka ya kuandika vichwa vya habari na taarifa zitakazouzika.

Binafsi, sijazungumza kuwa mimi ni mshabiki wa Chama Tawala, bali naongea kama MZALENDO wa taifa la Tanzania. Gross Conclussion kuwa Uchaguzi wetu ulikuwa na Uchakachuaji sio suala muafaka.

NEC ishajibu hoja.

Kama ishu ni uchelewaji wa majibu; most of results zimetolewa within the TIMEFRAME agreed.

Ni jambo lililo dhahiri kuwa Tuhuma za UCHAKACHUAJI zilianza hata kabla ya Uchaguzi kama selling point ya CAMPAIGN huku ikiwa ni uchochezi.
 
Mgeninani

Mgeninani

Senior Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
190
Likes
0
Points
33
Mgeninani

Mgeninani

Senior Member
Joined Jan 3, 2010
190 0 33
Mnapoteza muda na ushauri wenu mlioyaona miaka 5 iliyopita ndiyo yataendelea, ni vigumu mtu kubadilika akiwa na miaka 60, ushauri wenu bakini nao wenyewe.
 
D

Domo Zege

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
686
Likes
38
Points
45
D

Domo Zege

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
686 38 45
Sielewi hizi tuhuma dhidi ya Mheshimiwa Kikwete unazitoa wapi?

Election Observers kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa wameshiriki na kusema kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa wa Huru na Haki, na pia kama kuna tuhuma zozote za aina hiyo; kuna utaratibu wa kuziwasilisha ili kubaini kama haki imetendekea au la.

Akashube ndugu yangu, nakusihi usiwe MCHOCHEZI
Evidence pls tuwekee report yao hapa.Hapo penye nyekundu nina shaka sana kwani kwenye taarifa yao waliyoisoma kwenye vyombo vya habari wamepoint weakness nyingi kama uchelweshawaji wa matokeo, Chama tawala kutumia rasilimali za selikali katika kampeni, Rais kutoa maagizo ya kiutendaji kuwarubuni wapiga kura, majina ya watu wengi kutokuonekana katika daftari la wapiga kura, hakuna uwiano sawa kati ya CCM na vyama vya upinzani katika kampeni. Kwa maana hiyo sizani kama unaweza sema uchaguzi ulikuwa wa HAKI. Ulikuwa HURU kwa sababu waliojitoteka waliweza kupiga kura bila usumbufu wowote.
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
PLEASE VISIT LINK

allAfrica.com: Tanzania: SADC Electoral Observer Mission Report on Elections (Page 1 of 3)

It Contains 3 pages of the SADC Observer Team.

Remember to go through each page.

Nawasilisha

Evidence pls tuwekee report yao hapa.Hapo penye nyekundu nina shaka sana kwani kwenye taarifa yao waliyoisoma kwenye vyombo vya habari wamepoint weakness nyingi kama uchelweshawaji wa matokeo, Chama tawala kutumia rasilimali za selikali katika kampeni, Rais kutoa maagizo ya kiutendaji kuwarubuni wapiga kura, majina ya watu wengi kutokuonekana katika daftari la wapiga kura, hakuna uwiano sawa kati ya CCM na vyama vya upinzani katika kampeni. Kwa maana hiyo sizani kama unaweza sema uchaguzi ulikuwa wa HAKI. Ulikuwa HURU kwa sababu waliojitoteka waliweza kupiga kura bila usumbufu wowote.
 
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
3,066
Likes
995
Points
280
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
3,066 995 280
Huyo bwana hajui anachofanya, anaongozwa tu na wachora michoro ya kupora raslimali zetu. Kwakuwa Mungu yupo aliwavusha waislael dhidi ya majeshi ya farao, naamini nasi atasikia kilio chetu.
 
M

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Messages
1,634
Likes
4
Points
0
M

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2009
1,634 4 0
Sielewi hizi tuhuma dhidi ya Mheshimiwa Kikwete unazitoa wapi?

Election Observers kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa wameshiriki na kusema kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa wa Huru na Haki, na pia kama kuna tuhuma zozote za aina hiyo; kuna utaratibu wa kuziwasilisha ili kubaini kama haki imetendekea au la.

Akashube ndugu yangu, nakusihi usiwe MCHOCHEZI
wewe haupo tz upo kwingine kabisa jamaa ameongea point,mi nakushauri achana na ushabiki tetea taifa lako
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
WADAU MIMI NIKO TANZANIA, tatizo ni kuwa OBJECTIVE.

Kama ni ishu ya kutetea UTAIFA, basi la kwanza kabisa ni kulinda amani tuliyo nayo; sio kuleta chokochoko. Zoezi la kupiga kura lishapita, na Watanzania Walio wengi wamempatioa KURA JK; hivyo; tuheshimu chaguo lao.

Aidha, nilitakiwa nitoe evidence, nimetoa report ya SADC, sasa kituu gani tena?

Penye amani, ndipo inapopatikana NEEMA na MAENDELEO.

Wadau, maisha baada ya Uchaguzi yashaanza. JK anaapa kesho tukijaaliwa, ataunda Baraza jipya, ambapo kutakuwa na sura mpya. Idadi ya wapinzani Bungeni imeongezeka, hivyo Bunge linatazamiwa kuwa lenye tija zaidi kuliko lililotangulia; na hiyo ni +ve achievement kwa Taifa letu.

TANZANIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
 
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,560
Likes
4
Points
133
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,560 4 133
watu mnaohubiri Amani kila siku ndio mliowafanya watz kuwa MA VUVUZEALA ,maana kila kitu hata kwenye haki yao wanaambiwa watavunja amanai,Huu ni upuuzi mtupu.Huwezi kuninyima haki yangu na kunihubiri amani,kama ulitaka amani ulitakiwa unisikilize.
kwanza wewe makame umetumwa hapa?
mbona nakuona umekuja kwa kazi sana katika kutetea uozo wa serikali yako?
Tambua kuwa wananchi tumeshachoka kabisa na huo uongozi wa jamaa yenu utakuwa ni mgumu sana sio kama ilivyokuwa 2005.
He has no confidence any more.
WADAU MIMI NIKO TANZANIA, tatizo ni kuwa OBJECTIVE.

Kama ni ishu ya kutetea UTAIFA, basi la kwanza kabisa ni kulinda amani tuliyo nayo; sio kuleta chokochoko. Zoezi la kupiga kura lishapita, na Watanzania Walio wengi wamempatioa KURA JK; hivyo; tuheshimu chaguo lao.

Aidha, nilitakiwa nitoe evidence, nimetoa report ya SADC, sasa kituu gani tena?

Penye amani, ndipo inapopatikana NEEMA na MAENDELEO.

Wadau, maisha baada ya Uchaguzi yashaanza. JK anaapa kesho tukijaaliwa, ataunda Baraza jipya, ambapo kutakuwa na sura mpya. Idadi ya wapinzani Bungeni imeongezeka, hivyo Bunge linatazamiwa kuwa lenye tija zaidi kuliko lililotangulia; na hiyo ni +ve achievement kwa Taifa letu.

TANZANIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Sielewi hizi tuhuma dhidi ya Mheshimiwa Kikwete unazitoa wapi?

Election Observers kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa wameshiriki na kusema kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa wa Huru na Haki, na pia kama kuna tuhuma zozote za aina hiyo; kuna utaratibu wa kuziwasilisha ili kubaini kama haki imetendekea au la.

Akashube ndugu yangu, nakusihi usiwe MCHOCHEZI
Kama unataka kuchangia...changia. Lakini kama unataka kuniita mchochezi hapo sasa unavuka mipaka. Unatumia ubongo au mavi kufikiri???? Yaani nilichoandika hapo juu wewe unaona ni uchochezi...basi acha kuchangia...mzito sana kuelewa somo wewe.

Mimi natoa ushauri kwa Kikwete. na sio wewe..usitafutie cheo kwenye mada za wengine.

Napenda mtu kama ananipinga atoe hoja sio mkojo wenye gono.
 
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,378
Likes
138
Points
160
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,378 138 160
Wamarekani wanajuta...... na mfano ukiwa tamko la Collin Powell mwaka 2005 ....wanajuta kwa kitendo cha majeshi yao na yale ya washirika wao kuvamia Irak.

Msemo unaotumiwa ndani ya shirika la ujasusi la marekani CIA na Uingereza MI6 pamoja na lile la Canada CSIS ni 'Sadam has killed many in death than when he was alive'.

Kama historia imetufundisha lolote haki huua wengi zaidi inapokuwa imekufa kuliko inapokuwa hai.

Kikwete jaribu kukaa chini na wagombea wenzako muelewane....jifunze mlichofanya Zanzibar ambacho kimewawezesha kuiba bila kupingwa.

Wagombea wa Upinzani na wapiga kura wao watasababisha uharibifu mkubwa usiotibika kwenye kushindwa kwao kuliko hata kama mngeacha haki ichukue mkondo wake.

Kikwete mustakabali wa Taifa hili uko mikononi mwako..Kaeni viongozi wote mtusaidie wananchi.....KUMBUKA...HAKUNA ALIYESHINDA AU ALIYESHINDWA UCHAGUZI HUU....UNAELEWA FIKA KWA NINI MSEMO HUU ULITUMIWA NA WAGOMBEA WAWILI WA ZANZIBAR.....SHAURI YAKO!!!!!!!!!!!!
Asante sana mkuu nimekusoma sana tena sana
 
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,378
Likes
138
Points
160
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,378 138 160
Sielewi hizi tuhuma dhidi ya Mheshimiwa Kikwete unazitoa wapi?

Election Observers kutoka taasisi mbalimbali za kimataifa wameshiriki na kusema kuwa Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa wa Huru na Haki, na pia kama kuna tuhuma zozote za aina hiyo; kuna utaratibu wa kuziwasilisha ili kubaini kama haki imetendekea au la.

Akashube ndugu yangu, nakusihi usiwe MCHOCHEZI
tumia akili ya kuiga hata ya kuzaliwa nayo ama kusoma shuleni huna wewe Makame umeonesha
udhaifu mkubwa sana kwenye hiyo posti yakom......jitambue kwanza
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
MALLABA

Mimi ninaandika objectively.

1. Moyo wa ushindani, ni kwamba kuna kushinda na kushindwa, na asiekubali kushindwa sio mshindani. Kama CREDIBLE OBSERVERS wameshiriki kwenye uchaguzi na wakauona uko sawa, kuendelea kukataa kutambua matokeo maanake ni kuwa na sifa za UBINAFSI ZAIDI. Tuheshimu kura za watanzania walio wengi.

2. Kumbuka kwamba kuna baadhi ya majimbo CCM walipita bila kupingwa; na pia walisimamisha wagombea kwenye kila nafasi Tanzania Bara na Visiwani; hivyo CCM kuendelea kushinda sio suala la ajabu.

3. Opposition imefanikiwa kwa kupata viti 52, hiyo ni achievement kwa growing democracy. Drastic and sudden changes; sio nzuri, mie nashauri muwe MORE ANALYTICAL na msiwe driven na POLITICAL IDEOLOGY.

4. President JK has Confidence of more than 61% of the VOTERS, kwa hiyo if you did not vote for him; hiyo haimaanishi kuwa hana confidence ya watu. Kesho watakuja wakuu wa Nchi Mbalimbali kuonyesha EXTENT OF CONFIDENCE Mhe JK aliyokuwa nayo. Aidha uangalie kwenye luninga massive turnout ya wananchi.

5. Uongozi siku zote sio rahisi, na ndio maana Watanzania wakamchagua JK, ili atumie uzoefu wake kuwaongoza kwa miaka mingine mitano. Tena inafurahisha kwa kuwa idadi ya opposition MPs imeongezeka, hivyo kuwapa Wapinzani Floor ya kuwa wapinzani,tofauti na Bunge lililotangulia ambapo baadhi ya Wana CCM ilibidi wafanye kazi ya wapinzani.

Mungu Ibariki TANZANIA

Mungu Ibariki AFRIKA

TANZANIA OYEEEEEE!!

watu mnaohubiri Amani kila siku ndio mliowafanya watz kuwa MA VUVUZEALA ,maana kila kitu hata kwenye haki yao wanaambiwa watavunja amanai,Huu ni upuuzi mtupu.Huwezi kuninyima haki yangu na kunihubiri amani,kama ulitaka amani ulitakiwa unisikilize.
kwanza wewe makame umetumwa hapa?
mbona nakuona umekuja kwa kazi sana katika kutetea uozo wa serikali yako?
Tambua kuwa wananchi tumeshachoka kabisa na huo uongozi wa jamaa yenu utakuwa ni mgumu sana sio kama ilivyokuwa 2005.
He has no confidence any more.
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Mimi sijazungumzia Magazeti; nimezungumzia taarifa za Election Observers walioshiriki katika mchakato wa uchaguzi.

Magazeti yana hulka ya kuandika vichwa vya habari na taarifa zitakazouzika.

Binafsi, sijazungumza kuwa mimi ni mshabiki wa Chama Tawala, bali naongea kama MZALENDO wa taifa la Tanzania. Gross Conclussion kuwa Uchaguzi wetu ulikuwa na Uchakachuaji sio suala muafaka.

NEC ishajibu hoja.

Kama ishu ni uchelewaji wa majibu; most of results zimetolewa within the TIMEFRAME agreed.

Ni jambo lililo dhahiri kuwa Tuhuma za UCHAKACHUAJI zilianza hata kabla ya Uchaguzi kama selling point ya CAMPAIGN huku ikiwa ni uchochezi.
Huu ndio utumbo wa kutafuta vyeo...baadaye unajipeleka kwenye chama na kujitambulisha kwa jina la jamii forums. Kwa pumba hizi hata Kikwete hawezi kukutaka, hutaweza kumsaidia kwa lolote kwenye kizazi hiki kisichodanganyika.

Yaani muibe kura halafu tunyamaze kwa kuwa Tume imejibu...au hao watafuta Uranium wamesema ulikuwa uchaguzi huru. Wewe usifikiri sisi tunaandika dhana humu...wengine tuko maeneo mazito nchi hii tunaelewa tunachoandika.

Kama huna hoja ya msingi funika kapu. Sisi mara ngapi tunakosea kuandika humu na tunarekebishwa na tunajirekebisha...wewe ushaandikiwa na kuelekezwa mara ngapi? na bado unaendelea kuandika usaha. Pinga jambo kwa hoja..ebo!!!!!!!!!!
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
AKASHUBE

KIMSINGI NI KWAMBA HOJA ZILIZOTOLEWA HUJAZIWAFIKI NA SIO KWAMBA HOJA HAZIJATOLEWA.

Kuna kutodanganyika, na kuna kuwa BLOCKED MINDED, yaani hutaki kupata a CONTRASTING VIEW POINT.

Wala mimi sio wa kwenda kuomba ujiko popote kwa kutumia Jamii Forums; nilichokiona ni kwamba mijadala imekuwa ikiwasilishwa yenye -ve stereotype, na nikaonelea niwasilishe contrasting opinion.

Sasa kama hata katika blog huna TOLERANCE, wewe unawakilisha hulka gani?

Learn to absorb differing opinions and views; aidha siwezi kukaa kimya nikiona mnaibaka Democratic Process ya Nchi hii, mimi ni MZALENDO ambaye niko tayari KUFA kwa ajili ya Taifa hili; sio kukoroma koroma.

Kwanza kabisa unatakiwa kujua kuwa identity zako tatu za humu nazifahamu ikiwemo yenye jina lako halisi ambayo umeogopa kuitumia hapa kwa sababu tunafahamiana na unaujua msimamo wangu vizuri tu tangu enzi za Chuo Kikuu.

Pili sijui unazungumzia vipi tolerance pale unapodai mimi ni mchochezi kwa kuwa nimeandika ushauri wa hali halisi kwa Mheshimiwa ambapo kama ulifuatilia hotuba zake tangu kabla ya uchaguzi na hata baada ya kutangazwa kuwa mshindi, anaelewa fika tatizo lililopo, japo wewe unajifanya hulioni na ndiye hasa mwenye kuamua kwa makusudi kuwa kipofu, na kutetea unajisi, ubakaji, ufirauni na ufisadi wa haki za raia wa Tanzania.

Tatu sikuwa na lengo la kuanzisha malumbano lakini kwa mara ya mwisho hapa niandike kwa sababu bado ninaamini sipingani na zuzu na siko tayari kwa hilo. One thing I will never accept to introduce within the perimeters of my tolerance is absorption of bull shit.

Unataka kujua nawakilisha kundi gani, nawakilisha ndio...nawakilisha watanzania wapenda haki, wanaojua haki zao na wamechoka kulishwa mavi kwa kuwa tu anayekulisha ni mkubwa. Je wewe unawakilisha kundi gani?????

Unajifanya uko tayari kufa kwa ajili ya nchi hii...huu utumbo wa nguruwe achana nao. Huwezi kuwa unaunga mkono Serikali ukatoa madai kama haya, na hasa serikali hii ya kifisadi.

WANA JF NAOMBA TUJIULIZE, HIVI NI YUPI AMBAYE AMEONYESHA KUWA TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI HII, NI ANAYEUNGA MKONO SERIKALI YA CCM AU ANAYEIPINGA??????

Wewe unachoandika hakihatarishi maisha yako hata kidogo, wala huwezi kupata sms za vitisho kwa hilo, angalia maandishi yangu yote tangu najiunga JF, wewe huna uwezo wa kuandika ninachoandika mimi huna huo uwezo. Mimi ndiye niko hatarini kuliko wewe.

Kama ni kujisifu basi mimi nawakilisha wana JF wengi humu ambao wako tayari kufa kwa ajili ya nchi yao.

Baadhi yenu serikali kuwapata ni kazi kubwa lakini sio mimi. Ingekuwa serikali imechukizwa na ninachoandika hapa na wakataka kunimaliza, mimi ningepatikana kwa haraka kuliko wewe makame ambaye una identity nyingi humu na tatu ninazifahamu.

USIFIKIRI UNAONGEA NA WATU WAKO ULIOZOEA KUWABURUZA HAPO KAZINI KWAKO WENYE MIOYO ILIYOJAA UNAFIKI NA WOGA WA TUMBO.

USITAKE TUANDIKE HAPA KILA KITU KUTHIBITISHA MAOVU YALIYOFANYWA NA CCM. SASA TUKO KWENYE POST ELECTION, ACHA UPUMBAVU WAKO 'MAKAME'.

JF wangekuwa wanaruhusu ningetoa data zako zote hapa ikiwemo jinsi ulivyosaliti wenzako enzi za migomo chuo..............
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
La msingi ni kwamba this is POST ELECTION, thanks for acknowledging that fact.

Likewise, kama ulivyokuwa na uhuru wa kuandika uliyokwishayaandika, ikiwemo MATUSI; you might as well go ahead and write my names and identities.

Moreover, unapozungumza suala la UZALENDO wa kufa na kupona kwa ajili ya Nchi yetu; huo haupimwi kwa BLOGPOSTING na kukurupuka kutetea hoja zisizo mashiko kwa kudai kuwa zilizokuwa presented sio hoja. I respect your opinion, na ninachokifanya ni kui encounter kwa hoja; sio kauli za KIHUNI.

Talking about representing views za wana JF, hilo sidhani; unachoandika ni maoni yako BINAFSI; kila mtu ana fursa ya kuandika anachoona kinafaa kwa wakati huo.

Mwisho kabisa.

TUMTAKIE Dk Jakaya Kikwete na Dk Mohammed Bilal Kipindi chenye mafanikio; na pia tumpongeze Dk Slaa kwa kutokea 2nd contestant, arudi akaimarishe chama.

TANZANIA OYEEEEEEEEEEEE

Kwanza kabisa unatakiwa kujua kuwa identity zako tatu za humu nazifahamu ikiwemo yenye jina lako halisi ambayo umeogopa kuitumia hapa kwa sababu tunafahamiana na unaujua msimamo wangu vizuri tu tangu enzi za Chuo Kikuu.

Pili sijui unazungumzia vipi tolerance pale unapodai mimi ni mchochezi kwa kuwa nimeandika ushauri wa hali halisi kwa Mheshimiwa ambapo kama ulifuatilia hotuba zake tangu kabla ya uchaguzi na hata baada ya kutangazwa kuwa mshindi, anaelewa fika tatizo lililopo, japo wewe unajifanya hulioni na ndiye hasa mwenye kuamua kwa makusudi kuwa kipofu, na kutetea unajisi, ubakaji, ufirauni na ufisadi wa haki za raia wa Tanzania.

Tatu sikuwa na lengo la kuanzisha malumbano lakini kwa mara ya mwisho hapa niandike kwa sababu bado ninaamini sipingani na zuzu na siko tayari kwa hilo. One thing I will never accept to introduce within the perimeters of my tolerance is absorption of bull shit.

Unataka kujua nawakilisha kundi gani, nawakilisha ndio...nawakilisha watanzania wapenda haki, wanaojua haki zao na wamechoka kulishwa mavi kwa kuwa tu anayekulisha ni mkubwa. Je wewe unawakilisha kundi gani?????

Unajifanya uko tayari kufa kwa ajili ya nchi hii...huu utumbo wa nguruwe achana nao. Huwezi kuwa unaunga mkono Serikali ukatoa madai kama haya, na hasa serikali hii ya kifisadi.

WANA JF NAOMBA TUJIULIZE, HIVI NI YUPI AMBAYE AMEONYESHA KUWA TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI HII, NI ANAYEUNGA MKONO SERIKALI YA CCM AU ANAYEIPINGA??????

Wewe unachoandika hakihatarishi maisha yako hata kidogo, wala huwezi kupata sms za vitisho kwa hilo, angalia maandishi yangu yote tangu najiunga JF, wewe huna uwezo wa kuandika ninachoandika mimi huna huo uwezo. Mimi ndiye niko hatarini kuliko wewe.

Kama ni kujisifu basi mimi nawakilisha wana JF wengi humu ambao wako tayari kufa kwa ajili ya nchi yao.

Baadhi yenu serikali kuwapata ni kazi kubwa lakini sio mimi. Ingekuwa serikali imechukizwa na ninachoandika hapa na wakataka kunimaliza, mimi ningepatikana kwa haraka kuliko wewe makame ambaye una identity nyingi humu na tatu ninazifahamu.

USIFIKIRI UNAONGEA NA WATU WAKO ULIOZOEA KUWABURUZA HAPO KAZINI KWAKO WENYE MIOYO ILIYOJAA UNAFIKI NA WOGA WA TUMBO.

USITAKE TUANDIKE HAPA KILA KITU KUTHIBITISHA MAOVU YALIYOFANYWA NA CCM. SASA TUKO KWENYE POST ELECTION, ACHA UPUMBAVU WAKO 'MAKAME'.

JF wangekuwa wanaruhusu ningetoa data zako zote hapa ikiwemo jinsi ulivyosaliti wenzako enzi za migomo chuo..............
 
Forum statistics

Threads 1,237,036
Members 475,401
Posts 29,276,163