Nakupenda Jamiiforum

Nakupenda Jamiiforum

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,783
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2
 
pole sana JamiiForums tunawakalisha hii ni ya wote kokudo
 
Yes hata wa2 wake makini sn unajua kule mpka uweke picha,au uwe maafuru 2tawakmbiza mpaka bc FirstLady gd day
 
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2

kokudo;

jina lako linanikwaza!

Kule Magharibi ya Ziwa Victoria watoto wengi wa kike majina yao ya "asili" huanza na "KOKU" Kwa hiyo "KOKUDO" ina maana isiyopendeza sana, given the fact that wao huchanganya lugha yao na Kiingereza!
 
Mbona ww umechanganya?
Na ww ni akina
.......kokutembei,..........kokuteta,..........
 
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2

ahhh kumbe face 1000 ni facebuk! duh! alafu hiyo heading nakupenda jamii forum .. nilifikiri umezimika kwa MOD flani wa hapa anaitwa jamii forum!!... neways!! JF ipo bomba ina watu wa kila aina from great thinkers mpaka Viazi
 
Back
Top Bottom