Jamiiforus for Mobile phones imeenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamiiforus for Mobile phones imeenda wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyikanavome, Nov 11, 2010.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa nikiingia jamiiforums kwa simu yangu ilikuwa inaipata moja kwa moja lakini wakati ule wa uchaguzi mkuu ambapo trafic ilikuwa kubwa sana ilipotea hewani. Kwa sasa inabidi nichague PC mode ya jamiiforums ili niweze kuperuzi kwenye simu yangu.

  Hili ni tatizo langu tu au kuna wengine linawakuta?
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nina tatizo hilo. Lilijibiwa lakini kwenye simu hakuna option ya kufanya hicho walichoelekeza. Nimenyamaza kinyonge ingawaje ni kama samaki nje ya maji kwani inabidi nikutana na JF baada ya massa 12/15 hivi ninaporudi nyumani
   
Loading...