Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Yaani mnakuwa kama watu wa ajabu inakuwaje kuwaje mnaiungisha ITV na CNN au BBC ,naona huu ni uzezeta na kijidhalilisha ,mbona wao huko hawaiunganishi ITV na BBC au CNN nina wasiwasi hata hawajui kama kuna station inaitwa ITV ,sioni sababu kama ni kwa watanzania basi wengi wanazo hizo station majumbani na kwa walio vijijini hata hawaelewi kunazungumzwa nini ndani ya BBC na CNN ,yaani kama kuungisha basi mungeliweza kuonyesha Discovery Chanel wakatuonyesha natural za mambo mbali mbali ambayo huenda kwa kuangalia tu wangeweza hata kufungua akili. AU mngetuwekea Jerry Springerz !!!:thinking: