mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Katika kikao kinachoendelea cha kupiga kura ya uspika,wakati wa maswali kwa bwana Marando mic zote zilizimika,mi nahisi zilipata wazimu au zilijua kuwa muuliza swali(Bw.Olesendeka) anataka kuuliza pumba,maana hata alipo uliza swali mwenyekiti alimkalisha chini baada ya kugundua kuwa hana swali bali pumba!!