PAS
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 454
- 8
CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone walivojiremba inahusiana na nini kwenye mchango wa mtu bungeni??
mmesahau enzi za CHIKU ABWAO akiwa nccr alivokuwa anajiremba hadi mkorogo juu, na alikuwa anamchango wa hali ya juu sana bungeni na ninamkubali hadi leo pia pangezi kwa huyo mpiganaji kurudi bungeni..ila kwasasa kazeeka ndo maana mwawaona ni waheshima sana..
ivo hao kina vicky nao ni mapito kama aliyopitia CHIKU ABWAO cha msingi tujiulize "je wanamchango gani??" hayo mambo ya vikuku ni udaku tu na mambo binafsi kwani wametembea uchi ukitazama hiyo picha??
Hata halima mdee alikuwa anajiremba kama hao ila mchango wake bungeni na alipotangaza kuwania kawe yule mama RITA MLAKI alifam kabisa kuwa hatapita ivo akakimbilia viti maalum mwaka huu,
tumeuona mchango wa HALIMA hadi sasa tumempa ubunge kawe..
tatizo kuna baadhi ya watu wanaleta post za ajabu ajabu matokeo yake memb wote na wageni wanaotebelea jf wasipokuwa makini wanawauna mkono, hivyo tuwe makini zaidi ya hapa.
Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena...
[video]https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/86631-vikuku-bungeni-2.html[/video]