Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
WanaJF wakati tunakaribia kuanza weekend tafadhalini naombeni mnijuze nitapata wapi GYM nzuri maeneo ya Kinondoni kwa sababu ni eneo rahisi kwangu kutokana na office sitaki ile ya pale maji machafu aka sayansi.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani