website za SUA na MUCCOBS mbona zinatia aibu?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,145
79,286
Hivi jamani mambo ya IT yametupitia kushoto? mbona website za SUA na MUCCOBS badala ya kuboreshwa zinazidi kuwa na quality mbaya na ya kutoridhisha? au ndo mambo ya kupeana tenda? kweli inakera jamani tujitangaze kwenye hii karne ya utandawazi na teknohama na sio kuweka blogs katika website za institutions kama hizo hivi hawawaoni UDSM na UDOM wajameni?
 
Nilijaribu kuongea na wahusika, niziboreshe, tena bure, lakini Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli. Anaona ukiiboresha utakuwa unaingilia kazi yake, kwani yeye mtu wa IT, na hiyo ndiyo mojawapo ya kazi inayomweka pale. Ukishaiboresha, Management inamwona mzushi. So, analinda mkate wake kwa kuendekeza MEDIOCRITY!
 
Back
Top Bottom