Tanzania yesterday lost its bid to sale part of its ivory stockpile by single vote.
The Convention on International Trade in Endangered Species (Cites) meeting in Doha, Qatar, rejected the...
Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi...
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kitamuunga mkono Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) endapo atagombea ubunge katika jimbo lolote mkoani humo.
Sambamba...
Jamaa anayetuhumiwa kumbaka Miss Tanzania, ambaye ni mwanamitindo Patrick Trey, hatimaye amepandishwa mahakamani mchana huu na kusomewa mashitaka yake ya ubakaji katika mahakama ya hakimu mkazi...
Mbunge agawa mchele, nyama kujipigia debeSalim Said
MBUNGE wa Jimbo la Wawi wilayani Chake, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ameongeza changamoto katika udhibiti wa rushwa kwenye uchaguzi baada ya...
WAKATI wananchi wanalalamikia ubora wa betri za Tiger Head kuwa ni duni, Shirika la Viwango (TBS) limekamata shehena ya kontena 20 za betri hizo kutoka China kutokana na kutokidhi viwango...
YADHIHIRIKA MURO ANATEMBEA NA KIFO MKONONI, ALAZIMIKA KUISHI MAFICHONI
Yule Daktari aliyepigwa risasi iliyomkosa mtangazaji wa habari za uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC1)...
DR. MANYUKI KATINGA RASMI MTANDAONI NA ANAPATIKANA KWENYE WEBSITE HII:- http://www.drmanyuki.com/services1.html
NIMEIPATA WEBSITE YAKE LEO ASUBUHI MITAA YA MOROCCO NIKAONA BANGO KUBWA SANA...
Salamu wana Jf
Jamani hamjamboo????????
Lipo jambo moja naomba kupata mawazo kutoka kwa wadau
Hivi wengine mnawezaje kuishi kwa mshahara wa serikalini????
Unajua huwa najiuliza mara nyingi maana...
Former Miss Tanzania contestant raped
THE Marketing Manager of the Dollywood and Konic Company Limited, Patrick Troy Mbasha (21), appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es...
NIMESUBIRI kwa muda wa kutosha kuona kama yatafanyika mabadiliko ya jina la jengo la Quality Plaza ambalo miaka kama miwili hivi lilinunuliwa na taasisi ya umma katika mikataba ambayo wengi...
BREAKING NEWS: Stephen Byers, Patricia Hewitt and Geoff Hoon suspended from Labour party
Last updated at 10:52 PM on 22nd March 2010
Three former Cabinet ministers have been suspended...
Wakuu heshima kwenu.
Naombeni msaada nimepata vishiringi kidogo nataka ninunue kigari changu toka south africa lkn cha japan, tayari nina jamaa huko ambaye kanipa details zote za kuweza...
Hakika hii nchi ndio maana inazidi kulaanika siku hadi siku.
Kwa walioangalia kwenye ITV taarifa ya habari imesikitisha saana kuona wagonjwa wakiwa kwenye ambulance wakisubiria wengine wazidiwe...
john mashaka aibuka, safari hii kwa kimatumbi...
UCHAFUZI WA MAZINGIRA NORTH MARA
Ndugu zangu watanzania, kila binadamua ameumbwa na haki sawa. Tumeumbwa kupendana na kuishi kwa furaha na...